Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,954
- 183,558
Hahahaaaa!! Dota hebu uwe na moyo wa kupondeka basi.Haha huo uvumilivu wa kunifanya nishindwe kujaza choo kwa amani, kila saa "nyumba yangu", me hapana kwa kweli.
Hahahaaaa!! Dota hebu uwe na moyo wa kupondeka basi.Haha huo uvumilivu wa kunifanya nishindwe kujaza choo kwa amani, kila saa "nyumba yangu", me hapana kwa kweli.
FactDaaah pole sana ayanda
1. Kama una ndugu wa karibu namaanisha kaka au dada mliozaliwa tumbo moja na huwa mnasaidiana ongea nao wakupunguzie mawazo. Kama una wazazi wa kukuzaa nenda nyumbani uwaombe radhi kwa kujipeleka kwa wanaume bila wao kutoa kibali hata kama umeshakuwa mkubwa. Yawezekana wazazi wako hawajafurahia na wanakinyongo nawe ndo maana unapatwa na haya masaibu.
2. Huyo mwanaume ni mfujaji ndo maana wakishindwa na na mkewe. Unajua mnapoishi wawili mnaishi vile mlivolelewa na wazazi wenu kitabia, sasa kama alipata malezi ya hovyo hawezi heshimu mwanamke na hana wema hata umtendee wema gani. Hapo nini ufanye na maamuzi gani uchukue kuhusu huyo mwanaume chekecha akili zako mwenyewe nimeshajaribu kukudadavulia kutokana na ulivotuelezea.
3. Kuhusu hiyo mimba, kama utaweza kulea mwenyewe hiyo mimba hadi mtoto maana yake kumgharamikia matibabu na shule basi Lea mimba uje uzee mwana, vinginevyo usije ukasubiri kuja kukitesa kiumbe kwanza aidha kwa kukitupa chooni au jalalani (bora ukitelekeze kanisani au msikitini au kwa masista kwenye watoto yatima). Nasema hivi maana ya natokea sana kama hayo na wanaofanya hivo wanakuwa na msongo mkubwa wa mawazo. Pia usije ukajikuta baada ya kujifungua huyo mtoto maisha yake yote ukawa unamchukia kutokana na baba yake kukutesa na kukufuja. Ujitahidi usije ukawabagua hao watoto hasa katika malezi utayowapa kutokana na wana baba tofauti. Nini ufanye kuhusu hiyo mimba chekecha akili zako za kuzaliwa mwenyewe maana nimeshakudadavulia kutokana na ulivyojielezea hapo juu.
4. Nyanyua wanao na nguo zako kapange nyumba au chumba ujipe likizo ya muda. Kwa lugha ya kigeni ningesema give him a space, get out of his house give yourself a leave out of his life for at least 3 to 6 months. That's an ample time to see if there's any importance for you two to keep on having a relationship. Halafu nimekumbuka, umesema kitu kuhusu sex he I'd doing you 3 times a day for 7 days..., inaonesha wewe hufurahii tendo la ndoa ni kuwa unatoa huduma ya sex. Ndo maana nikatangulia kusema huyo mwanaume anakufuja. Kwanza hata mahari hajakutolea..... natamani niongee mengi ila daaah nakosa wakati. Na chotara kukwambia hapa, unatakiwa na unahaki zote za kufurahia tendo la ndoa. Ingekuwa wale machangu sawa wao hawafurahii maana wanauza, sasa wewe hapo...... kama haja za kimwili hazitimilizwi...... go girl you are still beautiful. Na hata ukiwa unaishi mwenyewe na watoto pekeyake, you can date a man na enjoy sex bila kuhamia kwake wala yeye kuhamia kwako na bado mkaka life partners. Ni kujipanga kuamua na kuwa na msimamo yako.
5. Maadam ulisema ulimpata hapahapa JF natumai anasoma hapa, wewe kaka pambana na hali yako, simtetei huyu dada maana yaweza kuwa nae anamapungufu yake ndomaana hukuweza ishi na baba wa watoto wake. Kama mapenzi kati yenu yameisha acheni kutegeana na kufujana. Kila mtu achukue ustaarabu wake a sio kuanza kutiana ngeu.
Wish you all the beat in your decisions just NOTE: that, WE LIVE ONCE, HERE ON EARTH (WE ARE ALL NOT SURE AFTER LIFE IN DEATH) SO LIVE ONCE VIZURI AND WISELY. AND IF YOU LIVE ONCE VIZURI ONCE IS ENOUGH.
Kasie Matata.
Wangu umemomonyokaHahahaaaa!! Dota hebu uwe na moyo wa kupondeka basi.
Hahahaaa!!!Wangu umemomonyoka
Jenga yako basi......kuna mzee wangu mmoja aliniambia ukioa inabidi uache ubinafsi woooote maanake kuna siku utachelewa kurudi kwenye nyumba ulioijenga mwenyewe utapigiwa simu na mkeo atakwambia 'nyumbani kwangu mtu hawezi kurudi saa nane usiku'Haha huo uvumilivu wa kunifanya nishindwe kujaza choo kwa amani, kila saa "nyumba yangu", me hapana kwa kweli.
Wewe ukimsikiliza huyu utazeekea kwenu na vigimbi vya kucheza kwaito za wenzio!Wangu umemomonyoka
Hahahaaa!!!
Tatizo ulizidisha kupondeka, unaona sasa balaa!!
Nishajenga[emoji78] [emoji78]. Huyo mzee was very right, ukiwa selfish utamtesa sana mwenzako unless mkutane wote ni selfish. Umimi ni sumu kali sana kwa wanandoaJenga yako basi......kuna mzee wangu mmoja aliniambia ukioa inabidi uache ubinafsi woooote maanake kuna siku utachelewa kurudi kwenye nyumba ulioijenga mwenyewe utapigiwa simu na mkeo atakwambia 'nyumbani kwangu mtu hawezi kurudi saa nane usiku'
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]. Ngoja ajeWewe ukimsikiliza huyu utazeekea kwenu na vigimbi vya kucheza kwaito za wenzio!
Kama nakuona ulivyosonya kimoyo moyo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Jenga yako basi......kuna mzee wangu mmoja aliniambia ukioa inabidi uache ubinafsi woooote maanake kuna siku utachelewa kurudi kwenye nyumba ulioijenga mwenyewe utapigiwa simu na mkeo atakwambia 'nyumbani kwangu mtu hawezi kurudi saa nane usiku'
Hahahaaaa!!!Wewe ukimsikiliza huyu utazeekea kwenu na vigimbi vya kucheza kwaito za wenzio!
GoodUsiogope,maranyingi mahusiano yanayoanzia mahali ambapo watu wana watoto au wameachana na wenza wao hasa wale waliokuwa kwenye ndoa huanza kwa mtindo huo,yaani ni kama mziki ambao unaanzia katikati,ni wachache wanaoanza vizuri ila wengi huwa ni vurugu za hali ya juu na msipokuwa wavumilivu mtaachana na kuachana kwake huwa kunakuwa na hali mbaya kuliko hata kule mlikotokea.Sikushauri uachane ila cha kwanza kabla ya yote mrudie Mungu wako kwa nguvu na moyo wako wote,kwani anaesababisha yote hayo ni shetani,mmeanza kidhambi na bado mnaenda kidhambi,kwahiyo kwake inakuwa rahisi sana kuwaingia na kuwavuruga,ndoa ni sakramenti inayochukiwa sana na shetani,kwahiyo simama imara sana,omba uvumilivu itafikia mahali yote yataisha ila its a hard way..
Kuna mabinti maarufu hapa mjini wanahangaika kwa kufuata mama zao....mama akishakua selfish ni shida sana!Hahahaaaa!!!
Hebu muache binti yangu na kipaji chake cha kucheza kwaito.
Sasa asiponisikiliza mimi mama yake amsikilize nani!! Nimkute ndio anavumilia huo ujinga yaani kwanza namkung'uta viboko alafu nambeba mzobe mzobe na zubeda lake.
Hahahaaa!! Sipatii picha tukutane wote selfish yaani ukimwaga mboga namwaga ugali kiroho safiiiiii[emoji85] [emoji85] [emoji85]Nishajenga[emoji78] [emoji78]. Huyo mzee was very right, ukiwa selfish utamtesa sana mwenzako unless mkutane wote ni selfish. Umimi ni sumu kali sana kwa wanandoa
We achana na huyo nshomile ambae hata kuoa anawaza kwanza mali zake, sio ndio type ya huyu mume wa mtoa mada.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]. Ngoja aje
Hapana. Nilimuelewa.Kama nakuona ulivyosonya kimoyo moyo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Message sent and delivered ...lakini kwa ugumu wa mioyo yao JF mpaka yawakute