TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Kwani huko mtaani kupata wa kufanana nae tabia ni rahisi?!
Hapana si rahisi mimi sipo kwenye mambo ya mtandao na mtaani, nazungumzia maisha kwa ujumla waweza mpata hata bar na tabia zikaendana ukavuta ndani maisha yakawa na furaha na amani.
Ref: Mr. Blue na Wahida.
 
Sijutii mimba hata maana niliitaka wala sijaipata kwa bahati mbaya.. hata yeye aliitaka pia. Najipanga niwe mwenyewe nikishajifungua, pesa nitadunduliza.. kuhusu kuchukua mkopo ili kulipa ada, sikufanya ili kumfurahisha niliona ni jambo jema maana mimi ndo nina gari ilikua rahisi kupata mkopo fasta kwa kuweka gari rehani.........sijutii mtoto as the matter of fact am happy with the pregnancy, na hicho pia ni kitu kinachonishangaza maana ingekua enzi zangu nishaitoa kitambo
Pole sana
 
Umekosea uliposema MNAOTAFUTA WACHUMBA JAMIIFORUM, umeweka doa kua watu wa humu ni wa hovyo lakini je huyo baba wa watoto wako nae alikua jamiiforum?? mbona mlishindwana,

Labda ungesema KUTAFUTA MCHUMBA KIPINDI CHA UPWEKE NI KUBAYA angalau ningekuelewa,

By the way, follow your Heart but take your Brain with you.

Dah!

Ungekuwa karibu yangu hapa ningekupa bonge la zawadi dada!

Umenena vyema mno.
 
Hapana si rahisi mimi sipo kwenye mambo ya mtandao na mtaani, nazungumzia maisha kwa ujumla waweza mpata hata bar na tabia zikaendana ukavuta ndani maisha yakawa na furaha na amani.
Ref: Mr. Blue na Wahida.
Kifupi suala sio umekutana nae wapi....kuna vicheche kibao jumapili havikosi kanisani, kuna walevi kibao jumapili kanisani humkosi macho mekundu!
 
heeeh kumbe amefariki!!
Upweke ulimsumbua ndio maana, kutafuta mtandaoni si mbaya ila kumpata wa kufanana tabia ndio changamoto.
Aliyekwambia ana Tabia nzuri Nani? Ameweza kuwadanganya na mumemuamini, hana hata chembe ya tabia nzuri. ANAANDIKA MATUSI, ANADAI ENZI ZAKE ANGESHAITOA MI MBA, Hivi mwenye tabia nzuri anatoa mimba? Anadeclare kabisa hampikii mum ewe, hamfulii hata boxers, hata anavyomuadress mtoto wa mumewe inaonesha ana mbagua.Angalia anavyojibu hovyo wanaomkosoa.
 
Kifupi suala sio umekutana nae wapi....kuna vicheche kibao jumapili havikosi kanisani, kuna walevi kibao jumapili kanisani humkosi macho mekundu!
Bro, bado tupo mule mule, TABIA TABIA TABIA,
zikiendana tu basi love life itakua very simple.
 
Aliyekwambia ana Tabia nzuri Nani? Ameweza kuwadanganya na mumemuamini, hana hata chembe ya tabia nzuri. ANAANDIKA MATUSI, ANADAI ENZI ZAKE ANGESHAITOA MI MBA, Hivi mwenye tabia nzuri anatoa mimba? Anadeclare kabisa hampikii mum ewe, hamfulii hata boxers, hata anavyomuadress mtoto wa mumewe inaonesha ana mbagua.Angalia anavyojibu hovyo wanaomkosoa.
Hahaha sijasema kama huyo bidada ana tabia nzuri la hasha maana simjui wala simfahamu,
mimi nimesema kumpata mwenza mwenye tabia za kufanana na zako kwa maana kila mmoja akamkubali mwenzie vile alivyo ndio changamoto.
 
Yaani mimi nimeshika hapo akishalewa tu............
Nikaona umekwisha.
 
Aisee.....hivi kweli mtu una akili ya kawaida utasema wa mitandaoni ni watu wa hovyo hovyo? Mitandaoni kuna watu hao hao wa uraiani, wa maana na wa hovyo.
It's really surprising. The only difference ni kwamba huku hamuonani "physically" kwanza, while kwa mtaani mnaonana physically then ndo mengine yanaendelea. Hivi me nimekutana na mtu barabarani, tukabadilishana namba, what's the guarantee that he is a good guy? Nisipospend time naye, ntajulia wapi mapungufu/tabia zake au kwa sababu tu we met offline basi he is a good guy? Ukikurupuka hata kama mtu umekutana naye kanisani, utalia tu. Maana siku 2 ushamove in, then ndo unaanza kuona mapungufu yake.
Sema it feels good when love finds the both of you naturally, kuliko hii ya kusearch for love.
Afu ulimwengu umebadilika pia, humu ni meeting place kama kwingine tu. Na kuna watu circle yao kubwa ni humu online kuliko hata offline. So tuache tu watu watafute ushirikiano humu lol, kuna type za watu bila social networks tusingeonana kabisa, utakutana nao wapi kwanza?
 
Hao mimi naona, mwanamke anataka amwendeshe jamaa, jamaa anamdhibiti ndo chanzo cha mgogoro. MWANAMKE lazima atambue nafasi yake, ajue yeye ni Nani, halafu mwanamke anayepeleka maisha ya chumbani kwenye Mitandao, mmh! Naona waliowengi wanamsanifu Kwa maswali na bidada anafunguka tuu. HAPO MIMI NAONA JAMAA KAZI ANAYO.
 
Kifupi suala sio umekutana nae wapi....kuna vicheche kibao jumapili havikosi kanisani, kuna walevi kibao jumapili kanisani humkosi macho mekundu!

Watu sijui tukoje tu.

Saa zingine huwa tunashindwa kutatua matatizo yetu kwa kushindwa ku identify nini hasa chanzo cha tatizo.

Sisi tuliopo mtandaoni hatuishi sayari tofauti na wengineo ambao labda hawana presence kwenye hii mitandao.
 
Back
Top Bottom