TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Hayo ni maelezo ya upande mmoja na mwanadamu( hasa hasa mwananke) hujua sana kutunga hadithi ili aonekane anaonewa lakini naamini asilimia kubwa akipatikana huyu mwingine na kuelezea upande wake habari ni nyingine. Kuna wanawake wanajua kutesa na kusimanga watoto ambao sii wao na mwanaume akirudi anafanya maigizo kujifanya anawapenda ajabu sasa kama baba ni mkali kwa watoto wako na unauamini upendo wa kinafiki anaokufanyia mke wako , watoto watateseka sana
 
Kuna tofauti gani kati ya watu wa kwenye mitandao na wa huku uraiani?

Like, online folks have different DNA strands than other folks in the ‘real world’?
 
Awesome point.

This is just one side of the story!

There’s probably a whole lot more to it than what has been presented here....

Just sayin’
 
Hayo ni maelezo ya upande mmoja na mwanadamu( hasa hasa mwananke) hujua sana kutunga hadithi ili aonekane anaonewa lakini naamini asilimia kubwa akipatikana huyu mwingine na kuelezea upande wake habari ni nyingine. Kuna wanawake wanajua kutesa na kusimanga watoto ambao sii wao na mwanaume akirudi anafanya maigizo kujifanya anawapenda ajabu sasa kama baba ni mkali kwa watoto wako na unauamini upendo wa kinafiki anaokufanyia mke wako , watoto watateseka sana
Mimi nipo hapa tuu, nasoma jinsi huyu mtu alivyoamua kujidhalilisha mbele ya Wana JF. MWANAMKE HAWEZI KUWA SAWA NA MWANAMME.
 
Umekosea uliposema MNAOTAFUTA WACHUMBA JAMIIFORUM, umeweka doa kua watu wa humu ni wa hovyo lakini je huyo baba wa watoto wako nae alikua jamiiforum?? mbona mlishindwana,

Labda ungesema KUTAFUTA MCHUMBA KIPINDI CHA UPWEKE NI KUBAYA angalau ningekuelewa,

By the way, follow your Heart but take your Brain with you.
 
Kuna tofauti gani kati ya watu wa kwenye mitandao na wa huku uraiani?

Like, online folks have different DNA strands than other folks in the ‘real world’?
Kauli nyingine zinashangaza sana. Ni kama mtu anasema ukikutana nae mtandaoni anakuwa wa hovyo ila ukikutana nae mtaani anabadilika na kuwa binadamu wa maana! Otherwise labda walioko mitandaoni hawapo huko mitaani na maisha ya ndoa ya waliokutana mtaani hayana kasoro!
 
Sisi tunatafuta wanawake wenye akili timamu kama wewe na wewe unaangukia kwa mwanaume muuza utumbo mapenzi ni ya kijinga sana
 
Umekosea uliposema MNAOTAFUTA WACHUMBA JAMIIFORUM, umeweka doa kua watu wa humu ni wa hovyo lakini je huyo baba wa watoto wako nae alikua jamiiforum?? mbona mlishindwana,

Labda ungesema KUTAFUTA MCHUMBA KIPINDI CHA UPWEKE NI KUBAYA angalau ningekuelewa,

By the way, follow your Heart but take your Brain with you.
Baba watoto wake ni marehemu. Lakini na yeye pia inaonesha ni wa hovyo maanake alikuja kutafuta mtandaoni.
 
heeeh kumbe amefariki!!
Upweke ulimsumbua ndio maana, kutafuta mtandaoni si mbaya ila kumpata wa kufanana tabia ndio changamoto.
 
Kabisa, otherwise wa huku mtaani ingekuwa ni vicheko tu. Ila na huku matapeli wamejaa pia. Tatizo sio mmekutana wapi; bali umekutana na nani/mtu wa aina gani
Aisee.....hivi kweli mtu una akili ya kawaida utasema wa mitandaoni ni watu wa hovyo hovyo? Mitandaoni kuna watu hao hao wa uraiani, wa maana na wa hovyo.
 
Ila wadada shaurianeni uvumilivu kidogo basi jamani khaaa, maana ushauri ni kuondoka tu duuh

Mbona mambo ya kawaida tu hayo kwa wanandoa
Wacha we!!!
Unakaa ukisubiria nini labda!!
 
heeeh kumbe amefariki!!
Upweke ulimsumbua ndio maana, kutafuta mtandaoni si mbaya ila kumpata wa kufanana tabia ndio changamoto.
Kwani huko mtaani kupata wa kufanana nae tabia ni rahisi?!
 
Back
Top Bottom