Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Haya mzee mama... tukutane mwakani ukiwa umevaa shelaHahahah umetisha mzee baba, ndoa hadi mwakani.
Haya mzee mama... tukutane mwakani ukiwa umevaa shelaHahahah umetisha mzee baba, ndoa hadi mwakani.
Ila kule kwenu mimi sijawasikia habari ya kunyanyasa wanawake labda mtaanza nyie wa kizazi kipyaKwetu mwanamke anatakiwa amheshimu mwanaume kama anavyoheshimu viungo vyake hasa vile vilaini kama macho na ulimi...
Sasa wewe umkoromee Moran nikutoe utumbo uniachie laana. msalimie
Mmmh, hapo anakosea sana. Kutamka maneno kama hayo kwa mwandani wako sio vizuri. Ajifunze kuwa polite na kutumia lugha za staha, hasa kwako.Anataka niwe nampapasa muda wote kitandani... na sex mara 3 ahadi 4 kwa siku jamani nitawezea wapi? na sasa nina mimba ndo kabisaaaa....Yote tisa kama anataka hayo basi si angeacha kunitukana na kutumia matusi mara kwa mara! Yani kutamka matusi kama "m.s.e.n.g.e AU k.u.m.a.m.a.e " ni kawaida mnoooo kwake na mimi sijazoea kabisa jamani.... hata akiomba sex yani ni lugha hiyo hiyo kana kwamba yupo Corner bar anaongea na changu....
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Ila kule kwenu mimi sijawasikia habari ya kunyanyasa wanawake labda mtaanza nyie wa kizazi kipya
Hahah ila we jamaa weweHaya mzee mama... tukutane mwakani ukiwa umevaa shela
Tuambiane bwana maana naona pale female au nimekosea arifuuu??Hahah ila we jamaa wewe
Asante sana mkuu au nimekosea?Kula Like za kutosha
Mkuu unashangaa, penzi linaombwa kiaina aisee...eti lete......!!! DahAisee....
Hahahaha hapana, mm ni mdada kbs yaan biologically and physically mm ni she hahahha.Tuambiane bwana maana naona pale female au nimekosea arifuuu??
Isije ikawa umeweka mtego ili mabazazi ututege tuingie cha kike uje ututangizie huku tunavyorusha sound kwa wachuchu
Mbona unatoa hukumu bila ya kusikiliza upande wa pili mkuu?Kiufupi hilo li mwanaume lako halijielewi na ni lipuuzi sana ndio maana lilivunja ndoa yake.
Km humzidi elimu basi utakuwa unamzidi kipato ndio maana hayo yameanza. Ukipata mwanaume ambae hajielewi yaani ni shida sana.
Tabia huamua matendo ya mtu.Inabidi umuelewe mtu tabia yake ili kudetermine validity and relevancy ya anachokisema
Hapana mkuu ila mwanaume wa kumpiga mke na kumnyanyasa basi ujue yy ndio ana tatizo.Mbona unatoa hukumu bila ya kusikiliza upande wa pili mkuu?
KMkuu unashangaa, penzi linaombwa kiaina aisee...eti lete......!!! Dah
Jamaa ni noma. Hata changu ukimwambia hivyo anakutukana.Mkuu unashangaa, penzi linaombwa kiaina aisee...eti lete......!!! Dah
Haha haha tupige Moja ya majaribio bathii!!!Hahaaaa humu jf mnamove in ?
Mi nikajua ni show za one night stand tu
Kila mtu anaendelea na safari zake..
Audi alteram partem na nemo judex in causa sua zinakiukwa mubashara.Mbona unatoa hukumu bila ya kusikiliza upande wa pili mkuu?
moja tu inakushinda ! acha kujipaisha weweKwa hiyo umeona unianzishie Uzi Sio?
Tutakutana Nyumbani sasa nitataka Mara Sita badala ya hizo Tatu unazolalamikia.
Problem is you think your own kids are stupid.Tatizo naloliona hapa watu hamjasoma nilichkiandika ila mnakimbilia kutengeneza imaginations zenu wenyewe.... hakuna mahali niliposema watoto wanaona ninavyoteseka...kwani watoto wanajua natiwa mara 3 per night? watoto wenyewe ni below 10 years, wao wanaona maisha ni mazuri tu na nimeshasema they love this guy so much! Yani mnanichosha , wengine wanadhani mimba inanitesa ! Jamani hebu base on what i have written not what you imagine