TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Hapana kbs shemeji, humu labda km anatafuta danga.
Hapana huku ni kuzuri tu mbona mimi na mama klaree tumetoana humu na anamimba atanizalia mapacha mmoja tutamuita Jeiefu haka ka kike.

Ka kiume Emuemuyu yaani MMU.

Tena sisi mmoja akiwa mbali na mwenzake hadi tunahisi mshawasho kwenye enka za nyonga.
 
Ndio cha kujiuliza,ulikoishi kooote hola, ulikosoma koooote hola, ulimosafiri mwoooote hola, ulimokula mwoooooote hola heeeeee,ulimosali/swali mwooote hola Khaaaaa wapi bado
Anakua na mapungufu yasiyovumilika
 
Huyu ayanda nimesachi posts zake za toka 2013,analalamika tuu.Inaonekana alikuwa na mume lkn mume akamkimbia na badaye akafariki.So na yeye alishakimbiwa na mume.Inavyoonekana na yeye ni tatizo halafu anapenda kulalamika hapa jf.
Hawa wote watata sema bi Dada kifua hana,ni mtu wa visasi,utasikia ,simu nilikuwa na piga,nikaona upuuzi nikaacha.ayanda ni wale wanaotaka kuwatawala wanaume,na jamaa anakaza.
 
Hapana huku ni kuzuri tu mbona mimi na mama klaree tumetoana humu na anamimba atanizalia mapacha mmoja tutamuita Jeiefu haka ka kike.

Ka kiume Emuemuyu yaani MMU.

Tena sisi mmoja akiwa mbali na mwenzake hadi tunahisi mshawasho kwenye enka za nyonga.
Mh basi hongereni, mlikutana wema ila wengi wao humu ni waongo balaa.
 
Huyu ayanda nimesachi posts zake za toka 2013,analalamika tuu.Inaonekana alikuwa na mume lkn mume akamkimbia na badaye akafariki.So na yeye alishakimbiwa na mume.Inavyoonekana na yeye ni tatizo halafu anapenda kulalamika hapa jf.
Comrade hili umelivalia njuga saana ila naamini ni katika harakati za kumsaidia dada yetu. Basi amani ya bwana itawale
 
Hahahaa mimi hujanipeleka namna hii wewe na uzee wote huu?
Subiri tu..... ngoja kwanza nimalizie mwaka.... tena nitakukimbiza mchakamchaka badala ya mara 4 inakuwa 5... amani ya bwana itawale mpendwa.
 
Kwa mtazamo wangu naona muhusika hajasema ukweli wa upande wa pili.Anasema yeye hulala fofofo na anaenjoy akilala peke yake.Inavyoonekana anachukia hata kumpa mzigo jamaa,hivyo hampi freshi,kuhusu mtoto kunyoa je,kwanini hakumnyoa na alienda naye salon? Ukisoma vizuri ayanada anaonekana ni wale wa dada wa mtandaoni kila wakati na majisifu chungu mbovu,kuna haja gani ya kueleza hapa yy ndo ana gari ,mara mikopo,mara nikamlipia ada,mara open university na kama huyo jamaa yuko humu mbona atajua mapema sana tuu.Ushauri,ajiangalie tena yawezekana jamaa yuko sahihi,dada yetu ndo ana matatizo.Kingine mbona hasemi kilichotokea kwa bwana ake wa kwanza?

Ya kwanza yanini mkuu kufukua makaburi, yalipita yakaisha akaanza upya ndiyo hayo ya huyo mpya yanasibu. Hapa tuna Case ya pili ya kwanza rufaa ilishapita. Anaeleza mambo ya sasa siyo Zilipendwa muelewe ayanda plz
 
Ya kwanza yanini mkuu kufukua makaburi, alipita yakaisha akaanza upya ndiyo hayo ya huyo mpya yanasibu. Hapa tuna Case ya pili ya kwanza rufaa ilishapita. Anaeleza mambo ya sasa siyo Zilipendwa muelewe ayanda plz
Tabia huamua matendo ya mtu.Inabidi umuelewe mtu tabia yake ili kudetermine validity and relevancy ya anachokisema
 
Subiri tu..... ngoja kwanza nimalizie mwaka.... tena nitakukimbiza mchakamchaka badala ya mara 4 inakuwa 5... amani ya bwana itawale mpendwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hunijui eeh? Utabakia mdogo nikikohoa unaitika
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hunijui eeh? Utabakia mdogo nikikohoa unaitika
Kwetu mwanamke anatakiwa amheshimu mwanaume kama anavyoheshimu viungo vyake hasa vile vilaini kama macho na ulimi...

Sasa wewe umkoromee Moran nikutoe utumbo uniachie laana. msalimie
 
Dada kama ulikuwa unaweza kujitegemea mwenyew me nakushaur hama nenda kuendelea na maisha yako tu japo ni uamuz mgumu lkn that's too much kwakweeeli

Alafu Kwann jamni ulikubali kuishi nae tu,Anyway sometimes shetani ananguvu saaaana,Ilaaa Mola wetu ni Mwingi wa kusamehe na Mwenye huruma pia hututaka tuwe na subra ktk kila jambo so kuwa na subra wakat huo ukiwa mbali na huyo mtu mpe nafac kwanza jikaze tu

Lastly;Atakapo badilika mpokee tu lkn pia Usiogope kuwa single mother,nina ndugu yangu kaolewa akiwa na watoto wa3 kila mmoja na baba yake na hana kazi sembuse wewe unakipato chako so usikate tamaa Rizki anatoa Mungu tu ila jikabidhi kwake kwanza
kama umepangiwa uje kuolewa na fulani utaolewa na kuzeeka nae

Pole sana(Hama nyumba hiyo)
 
Back
Top Bottom