TAHADHARI: Kwa watumiaji wa juice za AZAM

Jamaa ana mashine latest ! State of the art ! Kama unataka Study Tour naweza kukufanyia taratibu uvitembelee !

Wewe akili zako ni kama za ngedere. Hata kama huyo Azam ni ndugu yako (japokuwa najua unamtetea kwa kuwa ni mwiislam) ungapaswa kufanya uchunguzi kwanza. Hizi juice nimeshasikia malalamiko kutoka kwa watumiaji wengine. Sasa ulivyo mjinga umekomaa na ubishi kwa vitu ambavyo hata hutakiwi kubisha. Basi undelea kubisha kama unafikiri utamsaidia.
 
Sasa huu ni ukorofi sasa,waislam tunaingiaje??

unataka tunywe bia za mengi??sisi kwetu hiyo ni haram ndugu..

Na kwa taarifa yako,hata usipokunywa wewe,sisi tutakunywa..

AZAM anauza AFRIKA YOTE HII NA NJE YA BARA HILI SEMBUSE WEWE WA BUGURUNI KWA MNYAMANI??

Una nini la kutambia?

Angali ndogo sana. Mfanyabiashara mzuri anapoona hatari ya kupoteza hata mteja mmoja hutumia busara kumrudisha. Lakini waafrika na akuli zetu ndivyo tunavyojibu kama wewe. Basi wewe endelea kuzinywa na faida yake utaiona
 
Mkuu mimi ni moja ya watu tulioshangilia ujio wa hizi juice ili tuache kutumia za nje lakini kweli umakini wao umepungua nadhani hii ni changamoto tu kuboresha hii kitu yetu wenyewe!!

Uko sawa kaka,changa moto hizo...tukijipanga tunaweza ila tukubaliane na ukweli pale tunapokosolewa,
 
Hapa kuna kitu siku zilizopita palisemwa mnachukia advertisement ya jiusi ya azam tbc sababu Watu wanaonekana wanakunywa Huku wanajenga msikiti .sasa Hv mbovu wacheni husda na fitna jama anauza Juis mpaka Swiss .kweli mungu anasema mliyoyaficha ni makubwa zaidi.na hata mkijumuika duniani kote kutaka kumdhuru mtu hamtaweza ila atakapo mola
 
Hii ni kweli kabisa!! imenitisha sana nimezipiga marufuku ndani!

Kibaya zaidi my CEO last week nae ilitokea kwake nae akazipiga marufuku!

Watoto wanazipenda sana lakini nadhani umakini wa Azam umepungua.

Well said mkuu, ingawa namukubali sana AZAM kwa ubunifu ni business acumen lakini swala la juice naona kidogo angesitisha kuzitengeneza kwanza afanye uchunguzi wa kina kuhusu product zake hizo.

Binafsi nimekwisha kumbana na sakata la kununua juice zake ambazo zilikuwa na walakini kidogo, na hii haikuwa mara yangu ya kwanza, kwa hiyo nimepiga marufuku familia yangu kununua juice hizo, nimesema wanaweza kununua Cola na Soda nyingine za AZAM lakini sio juice.

Sasa sijui tatizo ni processing plant au matunda yenyewe hayaifadhiwi vizuri!!! Yaani hata ladha ya matunda hakuna kabisa, nawashauri waende Kenya wangalie wenzetu wanafanikiwa kivipi kusindika juice makini; nalisema hili kwa nia nzuri siyo kwamba nataka kumwaribia biashara AZAM, namshauri achukue juice zake kutoka maduka mbali mbali at random alafu azionje nafikili atapata JIBU.
 
MKUU WALA USIHANGAIKE, HUYU JAMAA ALIYEANDIKA HIVI WALA SIO MKRISTO,
Ni muislam mwenzako tena mdini wa hali ya juu ukitaka kuamini angalia post zake zilizopita,
na shindwa kuelewa ameandika hicho alichoandika kwa faida ya nani.
Huyu mleta hoja nahisi kafukuzwa kazi kwa bakhresa siyo bure zote Mara 2juice ziwe chafu?mbona Mimi nanunua kila Leo sijaona jamani ,Huyu I think there must be something personal btn him and this co,it doesn't click in my mind to have such a scenario more than one time!
 
Hata mimi japo mpenzi wa hizo juice nimeanza kuwashtukia. Licha ya wasiwasi kuhusu usafi taste sio consistent. Nafikiria kurudia kinywaji changu ikiwa hawatajisahihisha
 
mwongo mkubwa weeeeeeeeeeeeee tena wewe utakua mkenya umetumwa baada ya kuona za kwenu zinadoda mshnz mkubwa weeee umezoea kuona wa tz ni wajinga na nyie ndo wajaja puscat
 
Kwanini mtu usinywe juice inayotokana na matunda halisi?mi hayo majuice ya viwandani sinywi hata kwa viboko
 
nijuavyo mimi juice za Azam hazichujwi sana mpaka kuondoa uhalisia wake na ndiomaana ukiweka kwenye glasi unaweza kudhani ni ucafu.fuatilia vizuri kama juice ni ya embe au chungwa au tunda lolote utaona vipande vy mbali vya matunda kuonesha kwamba juice imebeba sehemu kubwa ya tunda. zamani nilikuwa nadhania kuwa ni uchafu rafiki yangu mmoja akaniambia nichunguze vizuri ndipo nikagundua si uchafu.nawe unaweza kuchunguza zaidi pia
Habari Watanzania na Wasio Watanzania, Jana nilinunua juice ya Azam ya "tropical mix" ya TZS. 2500, Nilipofika home nikamimina kwenye glass ili ninywe, nikapiga funda la kwanza nikastuka kidogo, nikapiga la pili nikakutana na radha ambayo ni ya ajabu ajabu sana yani kama uozo ulochanganyika na mafuta ya taa, nikataka nimrudishie mwenye duka ila nikaona niachane naye, nikaenda kuitupa niki-assume labda mwenye duka aliiangushia mafuta ya taa. Leo tena nikaamua kununua juice ya AZAM sehemu ya mbali kabisa na niliponunulia jana, this time nikanunua juice aina ya "APPLE", basi mida ya usiku hivi baada ya msoc nikaamua nichukue glass moja niipige, nimefika nusu kabla haijaisha nikaiwa nimeiweka ile glass kwenye meza ambapo inapigwa na mwanga direct ndani, OMG... nimeona mauchafu uchafu kibao aisee kwenye glass, nikaanza kujiuliza au glass ni chafu??? Ikabidi nichukue glass kubwa halafu nimimine ile ile iliyopo kwenye box niione nayo, daaaaaaahhhh, aisee ni mauchafu kibao yan. Hapa nilipo hadi nahisi nishaanza kuumwa, nimeamua kuiweka hapa ili iwe ushahidi nikiumwa walau nikashtaki. (Mungu Aniponye kwa kweli). Nawashauri wapenzi wa hizi juice kabla hujaibugia uwe unapenda kuangalia ikoje kwanza maana waweza dhurika kwa kweli. N.B Sijaweka bandiko hili ili kuvuruga biashara ya AZAM, nop, ninawatahadharisha wenzangu na nilichokiandika ni ukweli mtupu.
 
Umelipwa kiasi gani na washindani wa Azam? AZAM poa tu. inakuwaje wengine tusiyaone hayo mauza uza? Anyway, nit
aendelea kuinywa ila kwa umakini ili kuithibitisha kauli yako.
 
Nyie ndo mafala. Watu haalali wakiimalisha biashara zao wewe uko mtandaoni kumdiscourage. Huna tofauti na aloandaa mkanda wa rwakatale
ACHA KUTUKANA WATU DOGO. UKWELI LAZIMA UWEKWE WAZI-JUICE za AZAM NI SUMU. KWA NCHI ZA WENZETU HASA US, HUYU JAMAA ANGEWEZA KUWASHITAKI NA KUDAI MABILIONI YA PESA.
 
Nyie ndo mafala. Watu haalali wakiimalisha biashara zao wewe uko mtandaoni kumdiscourage. Huna tofauti na aloandaa mkanda wa rwakatale
uko sahihi kabisa nadhani ni baadhi tu ya bidhaa hizo zina kasoro tufike mahali kupenda bidhaa za kwetu na hasa za mzawa kama azam ambaye amesaidia sana kuongeza ajira na pesa yake inatumika hapa hapa nchinitunaona
 
Siku hizi Mitaani watu wanatengeneza juice na maji yenye chapa ya Azam kisha wanaziuza kwa bei nafuu kuliko zinavyouzwa na Azam.
Lakini hii inachangiwa na wafanyakazi wasio waaminifu wa Azam ambao huwauzia chupa na maboksi empty ya juice na maji.
Mpaka unga wadau wanatengeneza mtaani na pakiti zake ni exactly look the same na Azam.
Buguruni na kariakoo ni vinara wa mchezo huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom