TAHADHARI: Kwa watumiaji wa juice za AZAM

Aise bac azam kuna tatizo hapa mtoni mtongani kuna mtoto wa shule ya msingi kama miaka 6hv amefariki kwa kunywa juice ya azama zile nyeusi ndani,alilia asubuhi akapewa hela kaenda nunua, gafla akaanza kulia tukaona ni tatizo kufika muhimbili akawa hoisana akafariki,tukarudi nyumbani tukachukua juice walivyoipima wakasema ina kemikali hatari kwa afya,ndio imemuua,nikasema nitakwepa bidhaa zote za azam,c juice wala maji ctaki tena,KUWENI MAKINI.
Unatudanganya, hivi unaelewa postmortem ni nini?
 
Tutakuaminije ? Muda mwingine usiwe na haraka ya kuleta uzi. Unawafungulia mashtaka tu, maana Watanzania pia kwa kasumba za biashara za watu hatupo nyuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom