TAHADHARI kwa wana ChitChat wote

Status
Not open for further replies.
Ndio maana mimi pande hizi huwa napitaga tu..dizain zina wenyewe hivi..ila nashukuru angalau kuna mdau kanialika weekend,ndio najipanga hapa!
 
hiyo nayo imetulia, eti Invisible hutaki uprezidaa, mimi nitakuvotia
 

kweli wewe ni dr 0...
 
Asante maana nilikuwa naogopa kupiga simu kwa mtu hapa. Maana Iam sensitive, naogopa sana mambo ya mtandao.
 
Invisible hapa umeongea yanayonikera na ambayo yalinifanya nikae nje ya jukwaa kwa muda sasa!
Nimepata matumaini ya jukwaa letu hope litarudi kuwa Stress Free zone!
Big up sana!
 
Last edited by a moderator:
Invisible hapa umeongea yanayonikera na ambayo yalinifanya nikae nje ya jukwaa kwa muda sasa!
Nimepata matumaini ya jukwaa letu hope litarudi kuwa Stress Free zone!
Big up sana!

Kaka Erickb52, Yaani hunishindi mimi, ndio maana Niliamua kuhama na Jukwaa kabisa.
Ila nadhani sasa, hali si tete tena.
Asante Invisible.......Uhhh!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Yah kwa sasa hata mi naona tumesharudi kama zamani!
Dah Twende zetu tukale story na washkaji!

Dah!!!!!!!
Yaani acha tu Erickb52, Sasa hivi mambo ni Tambarare.
Poa, Twen'zetu........... Tukalisongeshe Jahazi la CC.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…