TAHADHARI kwa wana ChitChat wote

Status
Not open for further replies.
Ndio maana mimi pande hizi huwa napitaga tu..dizain zina wenyewe hivi..ila nashukuru angalau kuna mdau kanialika weekend,ndio najipanga hapa!
 
hiyo nayo imetulia, eti Invisible hutaki uprezidaa, mimi nitakuvotia
 
tumekusoma mkuu, tena kuna wimbi la watu wameibuka kwa lengo la kuhakikisha wanaharibu hali ya hewa humu na baadae kujisifia kuwa wao ni kiboko ya wana chit chat, mfano ni ndugu c.t.u na kuna mwingine nimemuona leo anajiita @antchitchat, nimekuwa na wasiwasi nae pia, tunashukuru kwa mwongozo wako mkuu na kutukumbusha maana uwepo wa hili jukwaa kwa wale tuliokuwa tunalifikiria ndivyo sivyo.

kweli wewe ni dr 0...
 
Asante maana nilikuwa naogopa kupiga simu kwa mtu hapa. Maana Iam sensitive, naogopa sana mambo ya mtandao.
 
Invisible hapa umeongea yanayonikera na ambayo yalinifanya nikae nje ya jukwaa kwa muda sasa!
Nimepata matumaini ya jukwaa letu hope litarudi kuwa Stress Free zone!
Big up sana!
 
Last edited by a moderator:
Invisible hapa umeongea yanayonikera na ambayo yalinifanya nikae nje ya jukwaa kwa muda sasa!
Nimepata matumaini ya jukwaa letu hope litarudi kuwa Stress Free zone!
Big up sana!

Kaka Erickb52, Yaani hunishindi mimi, ndio maana Niliamua kuhama na Jukwaa kabisa.
Ila nadhani sasa, hali si tete tena.
Asante Invisible.......Uhhh!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Yah kwa sasa hata mi naona tumesharudi kama zamani!
Dah Twende zetu tukale story na washkaji!

Dah!!!!!!!
Yaani acha tu Erickb52, Sasa hivi mambo ni Tambarare.
Poa, Twen'zetu........... Tukalisongeshe Jahazi la CC.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
112 Reactions
Reply
Back
Top Bottom