Ushauri kwa wanaotafuta Kazi Kwenye Jukwaa hili

MOST WANTED

JF-Expert Member
Aug 16, 2011
207
175
Wanaotafuta Kazi Kwenye Jukwaa Hili
Kwa Bahati Mbaya kama ulisahau kubadilishana namba na mtu aliyepost Uzi humu na alikuambia atakurudia, Tafadhali jaribu kucheki Mara kwa mara PM zako au kuwa online mara kwa mara. From Experience nilimwambia mtu nitamrudia ikipatikana nafasi nyingine baada ya kukosa ya kwanza. He/she is completely Offline for hours. Opportunities Don't knock Twice but Sometimes they Do!!!!
 
Back
Top Bottom