FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,823
- 46,943
Du...hapo sijui tunakaaje chonjo!!kutojibu tukiulizwa kitu au...nisaidie ninasafari ya kwenda kudepost
Epuka watu wenye baibui uwapo Kariakoo..
Du...hapo sijui tunakaaje chonjo!!kutojibu tukiulizwa kitu au...nisaidie ninasafari ya kwenda kudepost
Hilo jini linashindwaje kwenda counter bank na kuuliza swali ili kikwapue pesa kwa mhudumu?
Kwa tarehe hii ukifanya bongoflava au bongomuvi labda utaweza kutoka :glasses-nerdy:
Huyo Alievaa Baibui, Atakuwa Ni Magufuli! Ameanza Kutapeli Watu! Nyumba Alizouza Serikarini Hazitoshi?!, Magufuli Ni Ugonjwa!, Kama Si Janga La Kitaifa!

Eeeh, ndiyo ukomae sasa :glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy: dah jamani...heee nitatoka kweli?
Nilitaka kwenda K/KOO na mavazi yangu ndio hayo (mabaibui),siendi tena.
Bora nikae home niwaangalie UKAWA mie.
nimekosa swali lakukujibiaWaswahili tukiulizwa na sisi tunakuuliza kwanza swali..kuna tofaoti gani baina ya mtu na jitu ?