Tahadhari: Jini la kike lazuka mitaa ya Kariakoo

Tahadhari: Jini la kike lazuka mitaa ya Kariakoo

wakazi wa kariakoo,tarehe 25 nendeni mkapange foleni mpige kura.msipumbazwe na hoja za meleta mada ili muingiwe na hofu.

Haina uhusiano na mambo yenu ya politics
Wengine hatuna time na siasa
 
Haina uhusiano na mambo yenu ya politics
Wengine hatuna time na siasa

Hata usipokua na time na siasa, siasa always finds its way into your life, it has all its time for you.
 
Hilo jini linashindwaje kwenda counter bank na kuuliza swali ili kikwapue pesa kwa mhudumu?
 
Khaa!! Hao wanaleta wizi wa kizamani sana. Wakiminywa vizuri watasema tu pesa walipopeleka. Sio wote ni wajinga kiasi hiki :glasses-nerdy:
 
Huyo Alievaa Baibui, Atakuwa Ni Magufuli! Ameanza Kutapeli Watu! Nyumba Alizouza Serikarini Hazitoshi?!, Magufuli Ni Ugonjwa!, Kama Si Janga La Kitaifa!
 
hizi abrakadabra hizi, mara ooh ukikutana na mtu akikuuliza saa ngapi usimjibu kwani ukimjibu ghafla Rolex yako inatoweka...dah
 
hizi abrakadabra hizi, mara ooh ukikutana na mtu akikuuliza saa ngapi usimjibu kwani ukimjibu ghafla Rolex yako inatoweka...dah

Kuna mtu alioteshwa manyoya surrender bridge aliishiaga wapi??? Au kwakua sim za kamera zilikuwa hazijaenea, mweee!! Naishia kucheka
 
ni nini tofauti ya jini na shetani?
Shetani ni mkuu wa ulimwengu wa giza ambaye ana watendaji kazi wake wengi sana kama majini, mapepo, vinyankera, n.k, majini yapo mengi sana kutokana na utendaji kazi wake mfano majini ya nuksi, magonjwa, umaskini, uvurugaji, ulevi, umalaya, uzinzi na vingi viovu unavyovifahamu..... Kama ilivyo katika ulimwengu wa mwanga kuna mungu, then malaika, ashakumu si matusi ila malaika twaweza wafananisha na majini ktk ulimwengu wa giza ila tofauti ni kwamba malaika wamebeba yaliyo mema/baraka na majini yamebeba yaliyo mabaya/laana. Kama kuna usichonielewa please karibu.

CC Sirdirashy
 
Nilitaka kwenda K/KOO na mavazi yangu ndio hayo (mabaibui),siendi tena.
Bora nikae home niwaangalie UKAWA mie.
 
Back
Top Bottom