Kumetokea Watu wanajifanya wanakopesha simu za Mkopo hapa Facebook na kukutaka uwatumie pesa kidogo ili wakutumie bidhaa yako huko mikoani ndugu yangu utapigwa vibaya. Nasema hivyo kutokana na Mimi yamenikuta nimelizwa elfu
View attachment 280451050 alafu ni mdada akijifanya katokea Zanzibar kumbe ni matapeli