BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,046
- 10,478
Baki kuwa bachelor usioe.
Wewe unawaona ila hujui wanayoyapitia..Mbona kuna maskini kibao wameoa na wana familia??
Kuendesha familia awamu hii sio kitu kidogo.Uoga wa majukumu....kwahiyo unawashauri wenye uwezo mdogo(masikini) wasioe?
Ni tahadhali tu.. Ukitaka kujua yaliyomo go aheadAcha kutisha watu
Misemo ya kuponzana hii..Baadhi ya watu milango yao hufunguka wanapopata majiko.
Vijana wengi wanakimbia familia wanaacha watoto katika mazingira magumu sababu wanakosa pesa ya kuhudumia familiaAcha kutisha watu
hahaha boss; kuna watu katika maisha unaweza ukawa nao karibu milango ya kheri ikaanza kufunguka, hujawahi sikia au experience kitu kama hiki?Misemo ya kuponzana hii..
Naunga mkono hoja.Kiufupi kwenye kuoa hakuna vikwazo kivile! Muhimu tu kwa kijana wa kiume aoe mtu ambaye anaendana/anashare naye vitu vingi. Kuanzia hobby, tabia, status, mienendo, kazi(ikibidi), viwango vya elimu, family background, nk. Kinyume na hapo lazima utajuta tu kuoa.
mtoto wa mama wewe!??Ni tahadhali tu.. Ukitaka kujua yaliyomo go ahead
hukohuko kwenu Dar...Vijana wengi wanakimbia familia wanaacha watoto katika mazingira magumu sababu wanakosa pesa ya kuhudumia familia
Hii kitu unaichukulia simple lakini ni kitu serious sana. Nyie si ndo mliooa alafu baba akakupa Nyumba ya kukaa ukiishiwa chakula unapiga simu kwa baba anakupa kiroba cha mchelemtoto wa mama wewe!??
Acha uoga.....