Tahadhali! Kijana kama una maisha ya kuunga unga usioe..

Yaan, achatu kuwa single yataka moyo nduguyangu naaa kwa watu tunao jiheshim hatuezi kuacha kuoa, huo utakua ni uoga wa maisha.
 
QUOTE="kanchibay, post: 31186834, member: 531815"]
Yaan, achatu kuwa single yataka moyo nduguyangu naaa kwa watu tunao jiheshim hatuezi kuacha kuoa, huo utakua ni uoga wa maisha.
[/QUOTE]
Kuoa sio tatizo changamoto inakuja kwenye kuimudu ndoa. Alafu sio uogo Bali inabidi ujipange kwanza.
 
QUOTE="kanchibay, post: 31186834, member: 531815"]
Yaan, achatu kuwa single yataka moyo nduguyangu naaa kwa watu tunao jiheshim hatuezi kuacha kuoa, huo utakua ni uoga wa maisha.
Kuoa sio tatizo changamoto inakuja kwenye kuimudu ndoa. Alafu sio uogo Bali inabidi ujipange kwanza.[/QUOTE]Sikatai, kujipanga ni lazima na nimuhim pia, lakini jamanii hadi ufikie 40's hujaoa etikisa kuendekea kutafta pesa n.k with such related fallacies, yaan hapo sio bna, maana pesa haitoshagi kama sifa yake kuuu kiuchumi.
 
Kuoa sio tatizo changamoto inakuja kwenye kuimudu ndoa. Alafu sio uogo Bali inabidi ujipange kwanza.
Sikatai, kujipanga ni lazima na nimuhim pia, lakini jamanii hadi ufikie 40's hujaoa etikisa kuendekea kutafta pesa n.k with such related fallacies, yaan hapo sio bna, maana pesa haitoshagi kama sifa yake kuuu kiuchumi.
[/QUOTE]
Ndo maana nikasema kijana sababu ndo kwanza anaanza kukutana na changomoto za maisha. Ila ukiwa una age kubwa inakuwa afadhali unakuwa na experience kubwa na changamoto za maisha na jinsi ya kukabiliana nazo. na ndo maana unaweza kukuta jamaa amefukuzwa kazi lakini bado anakomaa na familia yake ila kijana anatelekeza familia
 
Sikatai, kujipanga ni lazima na nimuhim pia, lakini jamanii hadi ufikie 40's hujaoa etikisa kuendekea kutafta pesa n.k with such related fallacies, yaan hapo sio bna, maana pesa haitoshagi kama sifa yake kuuu kiuchumi.
Ndo maana nikasema kijana sababu ndo kwanza anaanza kukutana na changomoto za maisha. Ila ukiwa una age kubwa inakuwa afadhali unakuwa na experience kubwa na changamoto za maisha na jinsi ya kukabiliana nazo. na ndo maana unaweza kukuta jamaa amefukuzwa kazi lakini bado anakomaa na familia yake ila kijana anatelekeza familia[/QUOTE]Sawa mkuu.
 
Hahahahahahaha aoe hawezi jua riziki yake ipo kwenye mikono ya mke wake labda???? Nyinyi vijana acheni kuwapoteza wenzenu

Nina shuhuda nyingi mno watu wameoana wakiwa hawana kitu na sasa wana mafanikio makubwa
 
hahaha boss; kuna watu katika maisha unaweza ukawa nao karibu milango ya kheri ikaanza kufunguka, hujawahi sikia au experience kitu kama hiki?
Kweli aisee ndio maana namfukuzia binti wa mzee machache anifungulie nyota nitokee kimaisha.
Kuna watu wana vismart sana mkuuu
Lakini kwenye hii issue ya familia sio ya kubet,takwimu zinaonesha watoto waliotelekezwa na wanaoishi maisha duni ni wengi mno.
 
Mtazamo kuhusu ndoa kwa Vijana wengi Sasa ni kujifurahisha.
Kwa hivo kama una nia ya kujiunga kwenye taasisi hii nyeti Ukiwa na mtazamo huo alafu huko sawa kiuchumi!!!
Utalia siku chache tu. Machozi yatakutoka.
Lakini Kama malengo yango nikuwa na familia utapigana vyovyote vile.
Na mambo yatasonga.
 
Sema kwa hili baadhi ya wanaume huwa hamjiamini sijui kwa nini?
Hili swala halihitaji kujiamini tu, uwezo wa kumudu majukumu ndio sehemu kubwa (mambo ya fedha).na mkianza kupata watoto ndio balaa,unakuta mtuu anakuambia shida halafu anasema sijui watoto hawajala...
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom