Tahadhali! Kijana kama una maisha ya kuunga unga usioe..

Wanasema, “Until you are financially stable dont put someones daughter in a family way.”
Lakini wakati mwengine hua inategemea na aina ya mwanamke.
Wanawake wengi sana wa sshv hawataki shida kabisa kwanza wanataka ready made man.ambae kila k2 kiko pale tayar,wanasahau kua wengi wa hao watu wa aina hyo kuna mwanamke tayar nyuma ya mafanikio yao.”behind every successful man there is a woman behind”
So hawa watu wa dizaini hii most of them ndo wanawake hua wanavutiwa nao, na hawa wengi wao mwanamke akijichanganya wanapita nae kama upepo ila uctegemee kama kutakua na future hapo tena baadae sana ndo utakuja kugundua kua you dd a mistake wakati kashakutumia.
Wako pia baadhi ya wanawake ingawa ni wachache wao hua ni waelewa mtu kama huyu unaweza ukaoa tu hata kama unamaisha ya kuungaunga they will always be there for u, they will help you katika kila unacho kifanya mpaka maisha yatanyooka.
USHAURI WANGU KWA WADADA
Kama mwanaume anavigezo vyote unavyo vihtaji lakini labda kwa bahati mbaya hana hela au maisha yake pengine ni ya kawaida ucmkimbie jaribu kuchunguza je ni mchapa kazi yaani ni mtu anaejituma?!
Maana hii ndo facta kubwa ambayo hutofautisha loosers and winners over time.
Pesa hua zinakuja na kuondoka lakini kama mtu ni hard working nakuhakikishia hamto lala njaa, na lazima mtatoboa tu as a couple ipo cku.Hard work will take you to places hata talent haiwezi fanya.Mark my words.
Inackitisha sana wadada waleo mnaweka kigezo cha pesa kua cha kwanza kabla hamjaamua kua na mtu.
Nataka niwahakikishie utaogezewa mileage mpaka utakua kama gari la mkaa.
Ni kweli kuna aina ya wanaume hata wanawake pia wapo wana asili ya uvivu yaani wapowapo tu..Stay miles away from these kind of people.They will https://jamii.app/JFUserGuide your life up!!
 
**Unaganishwa vya SUPER vifurushi vya miezi mitatu **
Kwa mitandao kama yote

*Vodacom*..17000/= *GB80* Dakika 1950

*Tigo*. ...17000/=
*GB80* Dakika 1950

*Airtel* ..... 16000/=
*GB80* Dakika 1950

*Halotel*...16000/=
*GB80* Dakika 1950

*Ttcl.* ....17000/=
*GB80* dakika 5078

Kwa mwaka mzima
Elf35,000
*VIFURUSHI NI VYA MIEZI MITATU NA WIKI MBILI*
ili kuungwanishwa
0767749612
 
Kiufupi kwenye kuoa hakuna vikwazo kivile! Muhimu tu kwa kijana wa kiume aoe mtu ambaye anaendana/anashare naye vitu vingi. Kuanzia hobby, tabia, status, mienendo, kazi(ikibidi), viwango vya elimu, family background, nk. Kinyume na hapo lazima utajuta tu kuoa.
Hasa kwenye elimu mkuu mwanamke akikuzidi elimu tu umekwisha....
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom