Tahadhali! Kijana kama una maisha ya kuunga unga usioe..

Hao wanaounga unga ndio wanaoa kila siku. Wanavyoishi wanajua wenyewe.
 
Kuoa bila kujipanga kisa umri umefika ni kukiangamiza kizazi chako

Hiz sio zama za kuzaa watoto wasiende shule
Kula vizuri , kuvaa vizuri na kutibiwa kwa uharaka wanapoumwa bila kusahau matunzo bora kwa mke wako
Tatizo Waafrika tuna zaa ili watoto wetu wawe ndo assets
As nimeshuhuadia wazazi wengi unakuta ana watoto 7 lakini wanashimdwa kujichanga wakanunua dozi ya mwezi ya blood pressure ya 60000 tsh
Kisa wote wapo wapo
Ila ukienda deep inside ni kwa sababu hawakusomeshwa zaidi ya kuishia la saba
 
Naunga mkono hoja.
Ila kwa wale wanaopenda kuishi kidhaifu dhaifu ile ukakuta mtoto anashindia mihogo siku nzima, au anavaa kaptura ya vilaka na juu kifua wazi na mzazi na kuridhika oeni tu hata kama hamjajipanga maana TASAF ipo kwa ajili yenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom