Kijana utajipanga hadi lini ndio uoe?

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
5,363
6,903
Niharakati za maisha ya kila siku umeamka asubuhi huna mbele wala nyuma, hujui kesho huku majukumu mengi kama kijana yanakusubiri:

Kujenga,

Kuendeleza wadogo kielimu,

Kuanzisha miradi,

Kulea wazazi,

Kuoa.

Ukijitathmini kufanya hivyo vitu hapo juu na kipato chako hakieleweki unahisi kuchanganyikiwa na wakati kuona maisha hayana faida.

Wanawake wenyewe wanachagua watu wenye kipato ila changamoto inayokuja miaka ya sasa kama mwanamke kwao ni maskini hawezi kuolewa na tajiri hata maandiko yanasema tajiri huoa kwa tajiri mwenzake na maskini kwa huoa kwa maskini mwenzake.

Ni mara chache sana tajiri kuoa kwa maskini au kuolewa kwa maskini.

Umejipima sasa umri unaenda huna kinachokuingizia kipato vizuri utafanyaje ndugu.

Masingo ni wengi na watakuwa wengi kadri siku zinavyoenda na itakuja kuwa kitu cha kawaida.

Nb. Kama maisha yako ni ya kuunga unga bora usioe kabisa kwa sababu utakuja kuendeleza kizazi cha umaskini ambacho ukoo utakuwa wa kitumwa milele. Mara nyingi watumwa wengi ni maskini.

Utasababisha watoto wa mtaani kwa kukimbia familia yako.

Utachapiwa mkeo kwa sababu huna hela, hivyo wenye nazo watajichukulia free.

Utakuwa huna usemi mbele mkeo.

Utafanya kuchukiwa na ndugu zako kwa kuwapa mzigo kwa sababu ya usumbufu wa mara kwa mara kuhusu kizazi chako ama kisome au matibabu.

Watoto kudumaa kiafya yaani akili na mwili kwa sababu ya kukosa lishe malazi mavazi.

Kwa hiyo kuwa makini kijana ndoa ni taasisi kubwa sana yenye heshima yake ambapo isipoendelezwa vizuri maisha yatakuwa ni ya taabu from cradle to grave hasa kwa watoto wako.

Futa hii notion ya kwambwa kuna bahati ambapo bahati huchukua sehemu ndogo sana ya maisha japo ipo kwa wachache. Ndio ile ya maskini kuoa na kuzaa watoto wengi eti kila mtoto ana bahati yake kumbe ujinga. Maisha yamebadilika wazazi wetu waliweza kulima ardhi zenye rutuba na kipindi hicho mvua zilikua zinanyesha. Si saiv mvua unaweza subiri adi miaka miwili bila kuiona.

Na bila kulima kisasa hutoboi.

Tunzeni mbegu zenu za uzazi achaneni na wanawake kama hamna uwezo wa kuwamiliki.

dronedrake
 
Asee
 
Toa suluhisho/ushauri la kufanya Sasa, sio unatufokea tu.
 
Back
Top Bottom