Tahadhali! Kijana kama una maisha ya kuunga unga usioe..

Kiufupi kwenye kuoa hakuna vikwazo kivile! Muhimu tu kwa kijana wa kiume aoe mtu ambaye anaendana/anashare naye vitu vingi. Kuanzia hobby, tabia, status, mienendo, kazi(ikibidi), viwango vya elimu, family background, nk. Kinyume na hapo lazima utajuta tu kuoa.
 
Oa upate akili, unakuta ndoa ndio itakuw msaada wako ukatoka kimaisha vijana tusidanganyane huwez kuwa na heshima mahal popote pale bila ndoa
 
Kiufupi kwenye kuoa hakuna vikwazo kivile! Muhimu tu kwa kijana wa kiume aoe mtu ambaye anaendana/anashare naye vitu vingi. Kuanzia hobby, tabia, status, mienendo, kazi(ikibidi), viwango vya elimu, family background, nk. Kinyume na hapo lazima utajuta tu kuoa.
Naunga mkono hoja.
 
mtoto wa mama wewe!??

Acha uoga.....
Hii kitu unaichukulia simple lakini ni kitu serious sana. Nyie si ndo mliooa alafu baba akakupa Nyumba ya kukaa ukiishiwa chakula unapiga simu kwa baba anakupa kiroba cha mchele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom