Tahadhali kama mkeo kafata mzigo wa biashara Dar

Maisha kusaidizana..nao wa dar wapate uchi unaukula maboga,kisamvu ,makande wenye rutuba ya asili acha chips hizi
 
Mkuu 100% strongly agree, kuna dada mke wa mtu ana watoto wa2 hyu dada aliniacha form2 yeye alikuwa form4 so bado tupo intouched, akanambia anakuja dar kkoo kuchukua mzigo wa nguo hvyo atafikia kwangu afu nimpe campan ya kkoo. Nyie wanaume wa mikoani juen kabisa wake zenu wakija dar wanaliwa sana nyie zubaeni tu
 
Waschana wengi skuhz wanajiuza huko
Kwenye magroup ya wasap yani
Huwez Amin kama ukikutana nao
Dau lao Sasa 50 bao 3
 
Wakuu,

Wale wa mikoani, wake/ wapenzi wenu wanakuja kufata mzigo wa biashara hapa Dar. Mzigo wa kuchukua siku moja unakuta anatumia wiki nzima au wiki mbili.

Ambacho ulikuwa haujui ni kwamba mwenzako anajiuza hapa Dar.

Kuweni makini, sio hapa tu. Hata wale wanaosema wanafata mizigo China na Dubai huwa wanafanya hivyo pia. Unakuta mwezi mzima mtu anasema anakusanya mzigo, kumbe anajiuza weeee akichoka anarudi.

Ni kweli kabisa
Mimi ni mwanamke kwa hili hatuonewi ni kweli
 
Back
Top Bottom