Tahadhali kama mkeo kafata mzigo wa biashara Dar

Wakuu,

Wale wa mikoani, wake/ wapenzi wenu wanakuja kufata mzigo wa biashara hapa Dar. Mzigo wa kuchukua siku moja unakuta anatumia wiki nzima au wiki mbili.

Ambacho ulikuwa haujui ni kwamba mwenzako anajiuza hapa Dar.

Kuweni makini, sio hapa tu. Hata wale wanaosema wanafata mizigo China na Dubai huwa wanafanya hivyo pia. Unakuta mwezi mzima mtu anasema anakusanya mzigo, kumbe anajiuza weeee akichoka anarudi.
Sasa mtu kafata mzigo maana yake ana fedha sasa anajiuza ili iweje?Tamaa,umasikini au nini labda?Tuelimishe mkuu.
 
Wakuu,

Wale wa mikoani, wake/ wapenzi wenu wanakuja kufata mzigo wa biashara hapa Dar. Mzigo wa kuchukua siku moja unakuta anatumia wiki nzima au wiki mbili.

Ambacho ulikuwa haujui ni kwamba mwenzako anajiuza hapa Dar.

Kuweni makini, sio hapa tu. Hata wale wanaosema wanafata mizigo China na Dubai huwa wanafanya hivyo pia. Unakuta mwezi mzima mtu anasema anakusanya mzigo, kumbe anajiuza weeee akichoka anarudi.
mkuu hii ni kweli kabisa kuna demu namfaham huwa anajiuza pale mitaa ya sinza na anatoka mkoani
 
Wakuu,

Wale wa mikoani, wake/ wapenzi wenu wanakuja kufata mzigo wa biashara hapa Dar. Mzigo wa kuchukua siku moja unakuta anatumia wiki nzima au wiki mbili.

Ambacho ulikuwa haujui ni kwamba mwenzako anajiuza hapa Dar.

Kuweni makini, sio hapa tu. Hata wale wanaosema wanafata mizigo China na Dubai huwa wanafanya hivyo pia. Unakuta mwezi mzima mtu anasema anakusanya mzigo, kumbe anajiuza weeee akichoka anarudi.
Mkuu ni tahadhari au imekuuma?
 
Hizi tabia zinawarudisha nyuma sana wanawake. Kuna jamaaangualimkataza kabisa waif wake kufanya biashara. Mmaza alikuwa mchakalikaji kinoma.
 
Mkuu mwanamke hatabiriki hata kidogo anahitaji uangalizi ikiwezekana wa 24/7.

na hapo tunazungumzia huyo ni mke wa mtu wa miaka kibao (sio kama hajaolewa).
Sio wote mkuu kunawanawake wanao jitambua sana hawawezi kufanya upuuzi kama huo
 
Sio wote mkuu kunawanawake wanao jitambua sana hawawezi kufanya upuuzi kama huo
Kuacha mke aende akafunge mzigo dar ni kuhatarisha ndoa hata mimi limenikuta,tafadhali ndugu zangu wa mikoani ukiona wewe unamuruhusu mkeo akafunge mzigo dar wengi wao wanagegedwa endelea kubisha na ujinga wako.kama kweli unataka ndoa iww salama yaani angalau iwe salama usimuruhusu mke akasafiri utajuta.
 
Sikia hii miaka mitatu iliyo pita nilisafir kwenda china...tulikua mji mmoja unaitwa u mwenyeji wetu alituongoza vizuri sana.tulipo fika hiko wakati tunaingia hotelini mwenyeji wetu alijikukuta akikutana na jirani yake mwanamke yaani jirani pale kariakoo alikua mwanamke wa mbeya huko,tulilala hoteli 1 lakini kulikua najaaa mtanzania anafanya biashara zambia ndie wanalalanae tulikaa kule siku 7 tukishuhudia wanalala wote so wanafanya nini ndani hatujui,lakini yule mwenyeji wetu alituhakikishia yule ni mke wa mtu anauhakika na nimajirani mimi jamani mambo haya nachoka sijui lakini wndeleeni kuwatuma
 
Mbona kawaida sana hili, kwani kuna ubaya wowote?

Mm kuna maza wa watoto 4, anafuataga mzigo hapa dar anapeleka kwake huko makete. Kila akija lazima nile mzigo, na anakaa hata wiki, napikiwa, nafuliwa, yani kila kitu

Yani hata nyege zikimpanda anapanga safari ya ghafla.

NB: Mimi mwanaume wa mkoani na hizi ni ndoto tuu
 
Kama mkeo nae huwa anafata mizigo either msindikize mara moja mtengeneze utaratibu wa kutumiwa mzigo bila yeye kufata au msindikize kila akifata mzigo
Ni bora kuhudumia watoto kuliko kumchunga mtu na mwili wake. Kwanini hamuombi talaka mkishindwa kuwavumilia waume zenu?
 
Back
Top Bottom