Tahadahari: Usijaze mafuta ya oilcom!!!

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,231
1,470
CHUKUA Tahadari na mafuta yanayo uzwa katika vitua vya OILCOM

KUMEKUWEPO NA TAARIFA ZA MAGARI MENGI KUFA FUEL PUMPS BAADA YA MUDA MFUPI, NA WENGI WAKIFWATILIA HUJIKUTA NI WATEJA WA MARA KWA MARA WA VITUO VYA OILCOM!!!

KUNA TETESI OILCOM WANACHAKACHUA PETROL/DIZEL KWA KUTUMIA CONDENSATE(BY PRODUCT YA GESI YA SONGO SONGO AMBAYO WAO WANA MKATABA NA TPDC KUINUNUA NA KUWAUZIA WATU WA VIWANDA VYA RANGI NA PRODUCTS ZA RANGI)

KAMA GARI YAKO IMEKWISHA PATA MATATIZO BAADA YA KUJAZA MAFUTA OILCOM TUELEZE ILI TWASILISHE TAARIFA EWURA

THANKS
 
hawa mkuu ndio wana tenda ya kusupply mafuta kwenye airports, na hizo ndege wasipoangalia basi watakoma wenyewe
 
Bora hao wanachakachua mafuta lakini BP ya upanga sea view wanachakachua mashine za kuwekea unatoa elfu kumi ukitegemea upate lita 5 wanakupa lita 3 huu Si Wizi jiadharini
 
Bora hao wanachakachua mafuta lakini BP ya upanga sea view wanachakachua mashine za kuwekea unatoa elfu kumi ukitegemea upate lita 5 wanakupa lita 3 huu Si Wizi jiadharini

Bora upate less, lakini masafi oilcom tsn oil kipimo sahihi but be very carefull with thier products!!!!!
 
Bora hao wanachakachua mafuta lakini BP ya upanga sea view wanachakachua mashine za kuwekea unatoa elfu kumi ukitegemea upate lita 5 wanakupa lita 3 huu Si Wizi jiadharini

du aisee BP nilidhani ni watu wanaaminika kumbe vimeo tu du...!!!bahati nzuri cjawahi pitia vituo hivo
 
CHUKUA Tahadari na mafuta yanayo uzwa katika vitua vya OILCOM

KUMEKUWEPO NA TAARIFA ZA MAGARI MENGI KUFA FUEL PUMPS BAADA YA MUDA MFUPI, NA WENGI WAKIFWATILIA HUJIKUTA NI WATEJA WA MARA KWA MARA WA VITUO VYA OILCOM!!!

KUNA TETESI OILCOM WANACHAKACHUA PETROL/DIZEL KWA KUTUMIA CONDENSATE(BY PRODUCT YA GESI YA SONGO SONGO AMBAYO WAO WANA MKATABA NA TPDC KUINUNUA NA KUWAUZIA WATU WA VIWANDA VYA RANGI NA PRODUCTS ZA RANGI)

KAMA GARI YAKO IMEKWISHA PATA MATATIZO BAADA YA KUJAZA MAFUTA OILCOM TUELEZE ILI TWASILISHE TAARIFA EWURA

THANKS

hawa OILCOM wana historia ya uchakachuaji nashangaa EWURA haijawahi wafungia maana pale kwenye kituo chao cha Ubungo kimepigwa lock pampu nyingi tu tokea kipindi cha uchakachuaji wa kutumia mafuta ya taa sasa wanaanzisha njia nyingine ya uchakachuaji du hii kali aisee
 
hivi OILCOM na CAMEL OIL wana undugu. Is it the same thing but different brands?
 
Asante kwa taarifa. Jana nilijaza mafuta katika kituo chao cha pale Mwenge round about, mafuta niliyopewa yana mushkeli katika gari langu, mpaka muda huu ninapoongea. Kiasi nilichowekewa ni kidogo kuliko pesa niliyotoa, ingawa pampu ilisoma kama kawaida. Hii nimefanya ulinganifu na vituo vingine ambapo huwa najaza mafuta kwa kiasi hicho hicho nilicholipa hapo Oilcom. Tuchukue tahadhari
 
Kuna haja ya kushare izi info ili kuviblacklist ivi vituo maana EWURA wao huvuta mkwanja tuu kama TRA,TBS etc
 
Back
Top Bottom