Pesa ni kitu muhimu sana kama huna.
Kama unazo, hapo ndipo utaona mwisho wa umuhimu wa pesa.
Unaweza kuwa na pesa, ukawa hujui style, ukanunua mavitu ya bei mbaya ya kishamba hujui hata kuyapangilia, watu wakakucheka umeonekana kichekesho na pesa unazo.
Pesa si tatizo. Tatizo linaloweza kutatuliwa na pesa ni gharama tu.
Ukipata pesa unalimaliza.
Tatizo halisi halimaliziki hata kwa pesa.
Bob Marley alivyokuwa anaumwa siku za mwisho, alikuwa na pesa ya kupata matibabu popote duniani, lakini tatizo lake lilikuwa kubwa kuliko pesa.
Alivyokaribia kufariki, alisema pesa haiwezi kununua uhai.
Now, that is a real problem.