Kwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia
Dunia ya Leo identity kubwa ya mwanaume inatokana kiasi Gani Cha pesa unachomiliki/ inatokana na the way unavyotegemewa kwenye maamuzi yatakayohitaji pesa .........
Mambo Yale ya mwanaume busara hayapo kwenye...
Hivi Mwanaume Unakuwaje Boya Unayeshinda Umelala
Wakuu, kuna muda inabidi tuongee lugha ya machinjioni kwa sababu hawa viumbe wanaojiita wanaume wa kizazi hiki wamezvywa mno na umama.
Inakuwaje mwanaume mzima, una ndevu kidevuni, una sauti ya besi kama honi ya lori la mkaa lakini huna fani...
Aiseeeh, nafikiri huyu mzee anawapima aone anaweza kuwakasirisha kiasi gani.
Inakuwaje mkuu wa mkoa, anaongelea habari za wanaume kuhonga na kuwahamasisha wafanye hivyo kwenye kikao na watumishi wa Serikali?
Toeni neno moja kwake!
Full clip hii hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.