Tafuta HAKI na WAJIBU wa kulinda AMANI

Tafuta HAKI na WAJIBU wa kulinda AMANI

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
1. Wapigania haki ambao walikuwa na haki ya kukata vidole vya wenzao ila vyao visikatwe kisa ni wafuasi wa chama fulani kilichogoma kuingia kwenye uchaguzi

Wapigania haki waliokuwa na haki ya kuuwa wenzao ila wao wasiuawe kisa tu wao hawajaenda kuchagua
Wapigania haki waliokuwa na haki ya kuchoma mali za wenzao ila wao wasichomwe kisa wao ni mashujaa walioingia barabarani kuchoma na kuharibu mali za wenzao hii sio haki jamani kila kitu lazima kipimwe kwa akili tulivu ni haki gani waliohitaji kwa kukata kidole cha mama zetu walioenda kupiga kura kwa desturi, mila na kufata sheria, ni haki gani waliyohitaji kwa kuchoma moto nyumba na mali za watu, ni haki gani waliohitaji kwa kuiba, kuharibu miundombinu na kufunga barabara?

2. Wezi ndio wamesababisha hayo wametia hasara kubwa. una duka lako unalipa kodi ya nyumba unasomesha watoto shule na mengine mengi leo unavunja na kuiba vyote hasara ilioje halafu mnataka askari wakutazameni tu mkifanya ugaidi
3.
Shida ambayo baadhi ya watu wa Tanzania wanayo ni kwamba hawajui kuwa kuna mambo ambayo hayaruhusiwi hata katika maandamano ya amani. Kama wangekuwa na hekima, wangeona kuwa maandamano yameanza kugeuzwa na kuhusisha uharibifu wa mali, wizi, na kuchoma vitu, basi wangeamua kuondoka na kurudi nyumbani.

Maandamano yale yalikuwa na malengo mawili tofauti: wengine walitaka kuandamana kwa amani na kudai haki zao, lakini wengine walikuja kwa lengo la kuharibu na kuiba.

Kwa hiyo yote yalipochanganyika, kila mtu aliyekuwepo hapo akachukuliwa kuwa mhalifu.
4.Tupate muda kutafakari ule ujambazi na uporaji uliofanyika ni aibu sana.Halafu watu wanasema waandamanaji hawakua na silaha Sasa hebu mtu mmoja atuonyeshe picha ya maandamano zaidi ya uvunjaji wa maduka, uchomaji nyumba za watu, magari na vituo vya mafuta.
Etc........
 
1. Wapigania haki ambawo wali kuwa na haki ya kukata vidole vya wenzao ila vyao visikatwe kisa ni wafuasi wa chama fulani kilichogoma kuingia kwenye uchaguzi

Wapigania haki walio kuwa na haki ya kuuwa wenzao ila wao wasi uwawe kisa tu wao hajaenda kuchagua
Wapigania haki walio kuwa na haki ya kuchoma mali za wenzao ila wao wasichomwe kisa wao ni mashujaa walio ingia barabarani kuchoma na kuharibu mali za wenzao hii sio haki jamani kila kitu lazima kipimwa kwa akili tulivu ni haki gani walio hitaji kwa kukata kidole cha mama zetu walio enda kupiga kura kwa desturi, mila na kufata sheria ni haki gani walio hitaji kwa kuchoma moto nyumba na mali za watu, ni haki gani walio hitaji kwa kuiba, kuharibu miundombinu na kufunga barabara?

2.Wezi ndio wamesababisha hayo wametia hasara kubwa una duka lako unalipa kodi ya nyumba unasomesha watoto shule na mengine mengi leo unavunja na kuiba vyote hasara ilioje afu mnataka askari wakutazameni tu mkifanya ugaidi

Etc........
Wewe hujui thamani ya uhai wa binaadamu unailingnisha na mali za hizi hizi we kiazi kweli.
 
Wewe hujui thamani ya uhai wa binaadamu unailingnisha na mali za hizi hizi we kiazi kweli.
Katika kutafuta mali pia kuna watu wamekufa au kufanyiwa mabaya ndiyo wakapata hizo mali,kuna nchi ukiiba unakatwa mikono au kuuwawa sembuse Tz uibe na kuharibu mali usiuwawe?acha kutetea ujinga ukifanya kitu lazima uwajibike kwa ulichokifanya kama ulitaka amani basi lazima uwajibike kuipata hiyo amani
 
Back
Top Bottom