Tafsiri ya kiroho kuamka saa tisa alfajiri

Mwanaume kusema muda huo ndio umejitahidi kuamka ni kwamba una matilatizo au hujitambui.

Isitoshe muda huo umeshapita timing zote za muda wa ibada serious direct na Mungu.
acha kuamka saa11 asubuhi kama mchawi ili tu ukamfurahishe bosi wako huo ni ukenge na ufinyu wa kufikiri utakufa maskini....tafuta financial freedom uwe unaamka saa2 asubuhi unaletewa cup of cofee ukiwa kitandani na malaya wako tena anakupigia goti. Ukimaliza unatulia kwenye balcon unakiwasha, ukimaliza unashuka kuota jua kwenye sunlounger pembeni ya swimmingpool yako huku ukiangalia hisa zako zinavyopanda na kushuka, unasubiri mama samia afungulie mipaka mazao yaishe kabisaa ili ufungulie mpunga wako ulio kwenye ghala.
 
Huna akili, tunaamka usiku mkubwa kwa ajili ya mtandao wa kiroho.

Kuna codes maalum za kuongea na Mungu direct kuna masaa yake jinga kama wewe huwezi kufikia level hizi za ufahamu.

Ukibarikiwa kuamka mida hiyo utakachowaza ni kupapasa uchi wa mwanamke ili umpande tu wakati muda huo wenzako ndio tunajiunganisha na mtandao wa kiroho.

Stupid (In Samia voice)
 
Dr...punguza ukali wa maneno...
 
Ukibarikiwa kuamka mida hiyo utakachowaza ni kupapasa uchi wa mwanamke ili umpande tu wakati muda huo wenzako ndio tunajiunganisha na mtandao wa kiroho.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oukay hapo nimekuelewa.....,, am sorry nje ya mada kidogo naomba unisaidie...ninawezaje kujifunza bible?? ninahitaji sana kujifunza biblia🙏🏼

Bible study kanisani..

Hapa JF pia kuna Mwl Mwakujonga Surya

Naona wao ni watafsiri wazuri wana karama hiyo...

Mi karama yangu ni muota ndoto...
Katika Ulimwengu wa Roho kuna falme mbili utazikuta.

Ufalme wa Nuru na Ufalme wa giza, hizi falme zote zinashindana katika ulimwengu wa Roho (Spiritual realm)

Ilikuweza kupokea taarifa katika ulimwengu wa roho ni lazima ujisajili katika moja ya hizo falme mbili.

Ufalme wa giza ni shetani na majini au malaika wake wahasi.
Na ufalme wa nuru ni Yesu na Malaika wake.

Unatakiwa kuchagua sasa falme ipi utaisikiliza na kuitumikia.

Mshana anaongelea kufungua sikio la tatu, bila kutaja ni katika ufalme upi.

Kufungua jicho la tatu na sikio la tatu utaratibu unafanana.. na utakapofungua basi ni lazima utakutana na roho za ufalme wa Nuru au ufalme wa giza.

Wengi wanaofungua jicho na sikio la tatu automatically wanajikuta wakiwa wazuri zaidi katika imani.

Ninachoamini mimi ni kwamba, usipomwamini Yesu na ukafungua jicho la tatu utakutana na Shetani na majeshi yake.
Lakini kama unamwamini Yesu ukifungua jicho la tatu utakutana na Yesu na malaika zake.
 
Katika Ulimwengu wa Roho kuna falme mbili utazikuta.

Ufalme wa Nuru na Ufalme wa giza, hizi falme zote zinashindana katika ulimwengu wa Roho (Spiritual realm)

Ilikuweza kupokea taarifa katika ulimwengu wa roho ni lazima ujisajili katika moja ya hizo falme mbili.

Ufalme wa giza ni shetani na majini au malaika wake wahasi.
Na ufalme wa nuru ni Yesu na Malaika wake.

Unatakiwa kuchagua sasa falme ipi utaisikiliza na kuitumikia.

Mshana anaongelea kufungua sikio la tatu, bila kutaka ni katika ufalme upi.

Kufungua jicho la tatu na sikio la tatu utaratibu unafanana.. na utakapofungua basi ni lazima utakutana na roho za ufalme wa Nuru au ufalme wa giza.

Wengi wanaofungua jicho na sikio la tatu automatically wanajikuta wakiwa wazuri zaidi katika imani.

Ninachoamini mimi ni kwamba, usipomwamini Yesu na ukafingua jicho la tatu utakutana na Shetani na majeshi yake.
Lakini kama unmwamini Yesu ukifungua jicho la tatu utakutana na Yesu na malaika zake.
Wengi wanaofungua jicho na sikio la tatu automatically wanajikuta wakiwa wazuri zaidi katika imani.[emoji1545][emoji818][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna akili, tunaamka usiku mkubwa kwa ajili ya mtandao wa kiroho.

Kuna codes maalum za kuongea na Mungu direct kuna masaa yake jinga kama wewe huwezi kufikia level hizi za ufahamu.

Ukibarikiwa kuamka mida hiyo utakachowaza ni kupapasa uchi wa mwanamke ili umpande tu wakati muda huo wenzako ndio tunajiunganisha na mtandao wa kiroho.

Stupid (In Samia voice)
Pumbaf kabisa wewe unaongea na mapepo na majini usiku unadhani unaongea na mungu punguza bangi. Huo mda bora unget*mba
 
Huna akili, tunaamka usiku mkubwa kwa ajili ya mtandao wa kiroho.

Kuna codes maalum za kuongea na Mungu direct kuna masaa yake jinga kama wewe huwezi kufikia level hizi za ufahamu.

Ukibarikiwa kuamka mida hiyo utakachowaza ni kupapasa uchi wa mwanamke ili umpande tu wakati muda huo wenzako ndio tunajiunganisha na mtandao wa kiroho.

Stupid (In Samia voice)
Nilichogundua ni kuwa kuna levels za ufahamu ukishafikia ukimsimulia mtu ambaye hajazifikia anaweza kukuona umechanganyikiwa au unaongea vitu ambavyo havipo...
 
Kabisa mkuu hasa ukiwa na macho ya Rohoni unaitwa chizi kabisa [emoji1787][emoji1787]

Kuna siku nilijichanganya nikaongea na watu wasio na uwezo wa kuona...

Kilichonipata [emoji1787][emoji1787]

Kunawakati naona vitu vinawahusu watu wangu wa karibu naogopa kuwaambia...
 
Tulifundishwa kanisani kwetu kuhusu mada hii; Mwl alisema, kila mwanadamu anaye malaika mlinzi ambaye humlinda muda wote katika hatari za roho na kimwili. Tukaambiwa pia kuwa usiku wa manane ni muda ambapo wachawi, wawanga na roho chafu huutumia kuwatesa wanadamu. Kwahiyo ukistuka muda huo cha kwanza kaa na umshukuru Mungu kwa wakati uliopita pia omba kwaajili yako na wengine kisha lala.
 
Ngoja nikae kiti cha huku mbele.

Mara nyingi huo muda nakua macho, japo sijajua huwa nafanya nini.

Na ikitokea sipo macho nikija kuamka nakuwa nafundishwa wimbo wa Mungu, sijui hata anayenifundisha ni nani.

Nikifanikiwa kuurekodi, tayari nina wimbo mpya.
Comment nzuri sana. Roho wa Bwana apokee sifa milele. Yeye ndiye mwalimu, msaidizi na kiongozi wetu. Hongera sana sister.
 
Kumbuka

muda huo asili " nature" huamsha karibu kila kiumbe kinachofanya baadhi yetu tusikie mwamsho huo ni mtindo wa maisha tunayoyaishi ila kila kiumbe kwa namna moja au nyingine hustuliwa na akili ya ulimwengu wakati huo hususani saa tisa na dakika thelathini na tatu 333.
Kwanini saa 3:33? Nipe ujuzi zaidi mkuu. Natamani nipate maarifa zaidi hapa.
 
Back
Top Bottom