Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,988
- 100,190
Huo muda si ndio wanaita usiku wa manane?
Inaonekana wachangiaji wote huwa mnaamka muda huo,safi sanaWakati huo hua ninakua macho, najiuliza mbona siwezi kulala...
Mara nyingi nikiamka naanza kuomba Toba na rehema...
Nikijaribu kulala naona kama picha ya tukio fulani ambalo linaendelea...
This one is beyond faith conceptsUkiwa Muislamu unaefanya ibada kuamka mda huu ni kitu cha kawaida sana kwenye maisha yako mpaka unakufa
Am proud to be Muslim
Utapata mimba ... Hiyo mida ndo mimba huingia kwa wingi sana ... Chukua tahadhariSijawahi kukesha [emoji2],, ila inabidi niweke utaratibu na mimi niwe naamka mda huo huenda nikapata kitu na mimi [emoji4][emoji847]
Wakati huo kunakuwa na nguvu za Rohoni Kutoka kwa Mungu, na pia kuna nguvu za Rohoni Kutoka kwa wakuu wa giza wachawi, mizimu...Wagonjwa wengi huzidiwa sana wakati huo na idadi kubwa hufa kutokana na kuwa katika ukinzani na mitetemo ya Dunia.
Wee usiniambie 😃😃😃,, ila mtoto ni baraka bhana🤗🤗Utapata mimba ... Hiyo mida ndo mimba huingia kwa wingi sana ... Chukua tahadhari
Uko sahihi sana...Mambo ya kiroho hayo, sema mbususu zinaturudisha nyuma sana.
Kivipi mkuu,, unaweza kunifafanulia kidogo?🤔🤔Mambo ya kiroho hayo, sema mbususu zinaturudisha nyuma sana.
Zinaa na uasherati vinaharibu sana...Kivipi mkuu,, unaweza kunifafanulia kidogo?[emoji848][emoji848]
Oukay hapo nimekuelewa.....,, am sorry nje ya mada kidogo naomba unisaidie...ninawezaje kujifunza bible?? ninahitaji sana kujifunza biblia🙏🏼Zinaa na uasherati vinaharibu sana...
Vinaweka watu mbali na uwepo wa Mungu...
Bible study kanisani..Oukay hapo nimekuelewa.....,, am sorry nje ya mada kidogo naomba unisaidie...ninawezaje kujifunza bible?? ninahitaji sana kujifunza biblia[emoji1374]
Sawa, Asante..ngoja niwatafuteBible study kanisani..
Hapa JF pia kuna Mwl Mwakujonga Surya
Naona wao ni watafsiri wazuri wana karama hiyo...
Mi karama yangu ni muota ndoto...
Post in thread 'Usiku wa manane (saa 9 hadi saa 10 alfajiri) ndio wagonjwa wengi mahututi hufariki' Usiku wa manane (saa 9 hadi saa 10 alfajiri) ndio wagonjwa wengi mahututi hufarikiWagonjwa wengi huzidiwa sana wakati huo na idadi kubwa hufa kutokana na kuwa katika ukinzani na mitetemo ya Dunia.
Hahahahahaha na nyagiMambo ya kiroho hayo, sema mbususu zinaturudisha nyuma sana.
Nyagi na mbususu ni baba mmoja
Ngono mkuu, ukiwa mtu wa mizagamuo na kupractise mambo ya kiroho ni unakua unacheza makidamakida tu. Haviendani na wala havishikamani.Kivipi mkuu,, unaweza kunifafanulia kidogo?🤔🤔
Anha,, Asante kiongozi nimekuelewaNgono mkuu, ukiwa mtu wa mizagamuo na kupractise mambo ya kiroho ni unakua unacheza makidamakida tu. Haviendani na wala havishikamani.