Tafsiri ya kiroho kuamka saa tisa alfajiri

Tafsiri ya kiroho kuamka saa tisa alfajiri

Je, mara nyingi unaamka saa 9-11 alfajiri na kuhisi kuna kitu kimekuamsha?

Je, unaamka katikati ya usiku na kuhisi kama unapokea aina fulani ya ujumbe au mwongozo kutoka rohoni, lakini huna uhakika ni nini?

Kuamka alfajiri na mapema ni dalili ya kawaida ya kuamka kiroho, lakini kunaweza kuwa na sababu zingine pia! Kusonga mbele kuamka kiroho ni mojawapo ya michakato inayochanganya zaidi kwa sababu mara nyingi inahusisha kugeuza maisha yetu ya kawaida juu yake. Katika nakala hii nitaangazia jinsi ya kujua ikiwa unapokea 'miito ya kuamka' kiroho au ikiwa kuna jambo lingine linaendelea. Pia utajifunza jinsi ya kupata uthabiti wakati huu. Hebu tuingie ndani yake.

Sababu za Kimwili

Ni muhimu sana unapopitia mwamko wa kiroho ili kutunza muhimu sana kutunza mwili wako! Hii mara nyingi haifundishwi sana kwenye mbalimbali mada lakini ni muhimu sana.

Tunapopitia mwamko wa kiroho(Spiritual awekening) na kujikita katika nguvu za juu zaidi (high energies), hii haituathiri tu kiroho bali kihisia na kimwili pia.

Kutunza mwili wako na kujijali
kama kipaumbele no.1 kutakusaidia kupata picha pana zaidi linapokuja suala la kutofautisha ni nini cha kiroho na ninini cha kimwili au ikiwa ni mchanganyiko wa yote mawili.

Tunapofanya mazoezi ya kiroho (Spiritual awekening) ya kila siku pia ni muhimu kuzingatia zaidi miili yetu , na hivyo matatizo ambayo tulikuwa tunapuuza yanaweza kujitokeza kwa urahisi zaidi.

Zingatia haya

.Fanya mazoezi mengi na kupumzika
.Weka afya ya mwili kuwa kipaumbele
.Kunywa maji mengi
.Usiache kula/usijinyime
.Jichanganye na jamii mitaani ama mitandaoni
Kufanya mambo haya kwa uwezo wako wote kutaruhusu mchakato huu kwenda vizuri iwezekanavyo. Tunapokuwa na ratiba thabiti ya kulala na kutunza miili yetu, ni rahisi kusema kwamba kuamka wakati huu lazima kuwe na sababu ya kiroho.

Kwanini tunaamka saa tisa alfajiri?
Huenda unaamka saa 9 juu ya alama mfululizo kwa siku kadhaa na unashangaa na kujiuliza ninini kinachoendelea.
Unapoamka unapata hisia tofauti kwamba kuna kitu. Hii ni aina ya ulandanishi ambapo unaona mchoro lakini huna uhakika unamaanisha nini.

hivyo basi unapoamka saa hizo na kupata hisia kama hizo usirudi kulala moja kwa moja. Bali fanya haya

.Ingia katika nafasi ya kutafakari (meditation)au kaa kidogo.
.Tumia dakika chache kukaa kimya ukiwa umefumba macho
.Angalia kama kuna kitu chochote kinakuja kwenye taswira yako kama vile neno, ishara, picha au hisia.
.Jiunganishe na nafsi yako na uone kama kuna ujumbe kwa ajili yako.
.Kabla ya kurudi kulala andika kila kitu Ulichoona kuhisi au kuwaza

Nini cha Kufanya

Ikiwa unapokea miito hii ya uamsho wa kiroho ni wakati wa kuanza kuweka rekodi. Kwakuwa alama na jumbe tunazopokea zinaweza kuwa na maana ya jumla na ya binafsi.

Mimi napopata ujumbe toka rohoni, kwanza huwa napenda kkujiuliza nafsini maswali mahususi zaidi kuhusu habari husika, na kujaribu kufafanua namna inahusiana nami. Ninapoendelea na mishe zangu zangu za siku huwa nakumbuka juu ya ishara na alama zinazofanana na zinazojitokeza.

Baada ya kuruhusu ujumbe uchemke akilini mwangu kwa muda, kwa kawaida mimi hupata jibu wazi ambalo ninahisi kuwa sawa. Hili likitokea, napenda kutafuta neno au alama za maana kwa wengibe ama kwa kutafuta kwenye Google[emoji3] na kuona jinsi tafsiri yangu inavyolingana na wengine.View attachment 2718700
Naona unawasiliana na kingdom fulani hivi .
Maana Mungu hana muda wa mawasiliano kwanza yeye ndo aliumba muda so anytime Mungu anawasiliana na mtu.
 
Unapolala mapema, ile best quality of sleep. Ukiamka saa 8 au saa 9 akili inakuwa ipo so calm. Unaweza kufanya vitu vingi kwa umakini sn, km ukiamua kusoma wakati huu unafaham sn akili inakuwa inaweza kubeba vitu vingi. Wengine ndio muda wao wanaoamka na kufanya pending ya kazi zao.

Pia tunashauriwa unapotaka kusali basi huu ndio muda mzuri wa kusali na kuomba (kiimani tunaambiwa ndio zinapanda vizuri kwa Muumba hazizongani na makshkash kama inavyokuwa mchana watu wakiwa kwenye pirika pirika)
Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo hahitaji muda. Muda wowote, saa yoyote na wakati wowote unawasiliana naye.

Hayo mambo ya kuwasiliana sijui saa tisa usiku , hao ni miungu .
 
Katika Ulimwengu wa Roho kuna falme mbili utazikuta.

Ufalme wa Nuru na Ufalme wa giza, hizi falme zote zinashindana katika ulimwengu wa Roho (Spiritual realm)

Ilikuweza kupokea taarifa katika ulimwengu wa roho ni lazima ujisajili katika moja ya hizo falme mbili.

Ufalme wa giza ni shetani na majini au malaika wake wahasi.
Na ufalme wa nuru ni Yesu na Malaika wake.

Unatakiwa kuchagua sasa falme ipi utaisikiliza na kuitumikia.

Mshana anaongelea kufungua sikio la tatu, bila kutaja ni katika ufalme upi.

Kufungua jicho la tatu na sikio la tatu utaratibu unafanana.. na utakapofungua basi ni lazima utakutana na roho za ufalme wa Nuru au ufalme wa giza.

Wengi wanaofungua jicho na sikio la tatu automatically wanajikuta wakiwa wazuri zaidi katika imani.

Ninachoamini mimi ni kwamba, usipomwamini Yesu na ukafungua jicho la tatu utakutana na Shetani na majeshi yake.
Lakini kama unamwamini Yesu ukifungua jicho la tatu utakutana na Yesu na malaika zake.
Hakuna nuru pasipokua na giza na shangaa sana mnapousema vibaya huo unaoita giza, wakati giza limekusaidia kutambua nuru.
 
Unapolala mapema, ile best quality of sleep. Ukiamka saa 8 au saa 9 akili inakuwa ipo so calm. Unaweza kufanya vitu vingi kwa umakini sn, km ukiamua kusoma wakati huu unafaham sn akili inakuwa inaweza kubeba vitu vingi. Wengine ndio muda wao wanaoamka na kufanya pending ya kazi zao.

Pia tunashauriwa unapotaka kusali basi huu ndio muda mzuri wa kusali na kuomba (kiimani tunaambiwa ndio zinapanda vizuri kwa Muumba hazizongani na makshkash kama inavyokuwa mchana watu wakiwa kwenye pirika pirika)
Pia tunashauriwa unapotaka kusali basi huu ndio muda mzuri wa kusali na kuomba (kiimani tunaambiwa ndio zinapanda vizuri kwa Muumba hazizongani na makshkash kama inavyokuwa mchana watu wakiwa kwenye pirika pirika)[emoji173][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika Ulimwengu wa Roho kuna falme mbili utazikuta.

Ufalme wa Nuru na Ufalme wa giza, hizi falme zote zinashindana katika ulimwengu wa Roho (Spiritual realm)

Ilikuweza kupokea taarifa katika ulimwengu wa roho ni lazima ujisajili katika moja ya hizo falme mbili.

Ufalme wa giza ni shetani na majini au malaika wake wahasi.
Na ufalme wa nuru ni Yesu na Malaika wake.

Unatakiwa kuchagua sasa falme ipi utaisikiliza na kuitumikia.

Mshana anaongelea kufungua sikio la tatu, bila kutaja ni katika ufalme upi.

Kufungua jicho la tatu na sikio la tatu utaratibu unafanana.. na utakapofungua basi ni lazima utakutana na roho za ufalme wa Nuru au ufalme wa giza.

Wengi wanaofungua jicho na sikio la tatu automatically wanajikuta wakiwa wazuri zaidi katika imani.

Ninachoamini mimi ni kwamba, usipomwamini Yesu na ukafungua jicho la tatu utakutana na Shetani na majeshi yake.
Lakini kama unamwamini Yesu ukifungua jicho la tatu utakutana na Yesu na malaika zake.
Haina haja ya kufungua jicho la tatu kwa anayemwamini Yesu, kwa neema za Mungu macho ya kiroho yanafunguliwa automatically.

Mungu wa Wakristo hahitaji muda wa mawasiliano, yeye muda wowote Yuko available kikubwa ni Imani basi.
 
Back
Top Bottom