Tafsiri ya kiroho kuamka saa tisa alfajiri

Tafsiri ya kiroho kuamka saa tisa alfajiri

Haina haja ya kufungua jicho la tatu kwa anayemwamini Yesu, kwa neema za Mungu macho ya kiroho yanafunguliwa automatically.

Mungu wa Wakristo hahitaji muda wa mawasiliano, yeye muda wowote Yuko available kikubwa ni Imani basi.
Kumwamini Yesu ndio kufungua jicho la tatu.
Nimetumia tu Lugha hiyo na wengine waelewe wasiojua kuwa ukimpokea Yesu anakupa nuru rohoni mwako.

Luka 11:34
[34]Taa ya mwili ni jicho; basi jicho lako likiwa safi, mwili wako wote unao mwanga; lakini likiwa bovu, mwili wako nao una giza

Spiritual eye 👆👆.
 
Me ni kila siku sasa,mpaka sasa tena nimestuka ila sijui ni kwanini naendelea kuamka mida hii haijalishi nimewahi au kuchèlewa kulala lazima mida hii niamke,...mpaka nachukia sasa maana naishia kuchezea simu mpaka saa 11 ndio usingizi unarudi na ofisini nachelewa sababu ya usingizi
 
Hiyo ni kwa kila mtu lbda wenye mikazi ya nguvunguvu
 
Je, Sisi tunaoamshwa saa tisa asubuhi kwa sababu ya kibofu cha mkojo kujaa, tuna tatizo lolote la kiroho?
 
Kwa sisi ma bachelor, kuamka saa 9 usiku kawaida, hatuna vishindo Vya kuchoshana na wenzi 😁😁😁!
 
Kabisa mkuu hasa ukiwa na macho ya Rohoni unaitwa chizi kabisa [emoji1787][emoji1787]

Kuna siku nilijichanganya nikaongea na watu wasio na uwezo wa kuona...

Kilichonipata [emoji1787][emoji1787]

Kunawakati naona vitu vinawahusu watu wangu wa karibu naogopa kuwaambia...
Hata mimi napata shida sana kuwaeleza rafik na ndugu mambo ya rohoni, hawanielewi kabisa.
Wananiona muongo tu,
Nina marafk wengi ambao tulikua karibu kipindi cha nyuma na baada ya mm kuacha baadhi ya tabia nimekua sieleweki kabisa kwao na wananishangaa kuacha starehe za kidunia.
 
Back
Top Bottom