Kosa lako ni kutoa rushwa ya elf 10Niliwekwa lockup Kimara bila kosa. Na elfu 10 yangu wakaila. Huo mradi ni kichefuchefu tupu. Hakuna ueledi!
Kosa lako ni kutoa rushwa ya elf 10Niliwekwa lockup Kimara bila kosa. Na elfu 10 yangu wakaila. Huo mradi ni kichefuchefu tupu. Hakuna ueledi!
Mchana kuanzia saa sita hadi nane Na nusu mchana walikuwa pia wana tabia mbaya mabasi yalikuwa hamna leo ghafla wamebadilika kuanzia mchana usafiri wa kimara kibao.Kitu ambacho ni cha ajabu hawako hivi siku zote.Shukrani kwa wote waliosaidia hili.Wanapiga mzigo hasa.Hebu Tusubiri jioni pia tuone
Mkuu mchana kuna abiria njiani kibao sijaona basi tupu hata kimara au kariakoo kukiwa hamna watu yote yanajaza njianiwatakuwa wapuuzi sana.
Ina make sense kupunguza magari mchana sababu abiria ni wachache, sasa wanayaachia yazurule hovyo sababu gani?
moja ya kitu ambacho huwa wanakosea ni kusubiri abiria wajae kule feri na kariakoo wakati wa asubuhi badala ya kukimbia kuwachukua Kimara.
Alafu kuna disconnection imetokea kati yao na askari wa barabarani, mwanzoni yalikuwa yanaruhusiwa kuvuka njia panda haraka yakifika, sikuhizi yanasimamishwa kama wengine.
Na labda pia ujenzi unaoendelea hapo ubungo, sababe pale sasa hamna barabara ya mwendo kasi, kila mtu anajiachia tu.
watakuwa wajinga sana kukimbilia kubadiridisha taratibu zao sababu huku JF kuna watu wanalalamika
Watafanya kinyumenyume....ukitoka kimara kwenda posta daladala zitapita upande wa kulia na kinyume chake.Unapandajepandaje kwenye daladala yenye mlango kushoto mwa dereva wakati abiria wa mwendokasi wanakaa kulia mwa davoo?
Turudishieni daladala zetu.Hali ni tete katika kituo cha kimara kama ilivyoripotiwa na Benjamin Mzinga wa ITV msongamano wa abiria ni mkubwa na watu wanaathirika kwa kuumizana na kukosa hewa.
Source: ITV mubashara!
=====
Katika hali ya kuonekana kuchoshwa na kutosikilizwa kwa malalamiko yao, abiria wanaotumia mradi wa Mabasi ya Mwendokasi waamua kuoandia dirishani
Kwa muda mrefu abiria hao wamekuwa wakilalamikia utaratibu wanaouita mbovu wa watoa huduma hiyo ya usafiri.
Mapema leo kulikuwa na taarifa zinazodai kuwa madereva wa mabasi hayo wamegoma kutokana na kutolipwa malimbikizo ya mishahara yao
Kama makontena ya makonda yalizuiliwa, hata haya mabasi lazima yalipiwe kodi. La sivyo yapigwe mnada kisha ajitokeze mtu kama "barkhresa" ayanunue kisha apewe kibali ayaingize barabarani. Huyu udart anyoonywe ila bahati mbaya udart ni msukuma.Mabasi 70 si wanasema TRA wameyashikilia haya ndiyo madhara yake
Mkuu mchana kuna abiria njiani kibao sijaona basi tupu hata kimara au kariakoo kukiwa hamna watu yote yanajaza njiani
We ipo siku utakuja kuolewa ndoa ya Mkeka kwa kuendekeza kujipendekeza utaolewa na kuzalishwa juuMleta mada hoja yako naona imefanyiwa kazi magari ya kimara yako kibao yanapishana kama nyuki
Yaani watu wana biashara moja, isiyo na ushindani wowote lakini bado inawashinda! Shocking hii.
Halafu nimemsikia Rto wa kanda maalum DSM anatetea huu ujinga eti ni kwa sababu watu wanapenda mabasi mazuri hajui kuwa hawa hawana mshindani. Aweke mshindani aone nani atayapanda hayo mabasi mazuri.
Mkuu wa mwendokasi Lwakarate kapewa onyo kali Na Raisi tayari.Hongera serikaliWe ipo siku utakuja kuolewa ndoa ya Mkeka kwa kuendekeza kujipendekeza utaolewa na kuzalishwa juu
Akili za kiccm hizi, hovyo kabisa...!Wakifika Kituo cha mwendokasi wanashuka barabarani Milango ya dala dala kushuka ni kushoto hawaingii kwenye jengo unashuka kituoni unaendelea na safari Kama wanavyoshuka vituo vingine Na kupanda hivyo hivyo
Rais Magufuli ni kiongozi msikivu na mfuatiliaji!Hali ni tete katika kituo cha kimara kama ilivyoripotiwa na Benjamin Mzinga wa ITV msongamano wa abiria ni mkubwa na watu wanaathirika kwa kuumizana na kukosa hewa.
Source: ITV mubashara!
=====
Katika hali ya kuonekana kuchoshwa na kutosikilizwa kwa malalamiko yao, abiria wanaotumia mradi wa Mabasi ya Mwendokasi waamua kuoandia dirishani
Kwa muda mrefu abiria hao wamekuwa wakilalamikia utaratibu wanaouita mbovu wa watoa huduma hiyo ya usafiri.
Mapema leo kulikuwa na taarifa zinazodai kuwa madereva wa mabasi hayo wamegoma kutokana na kutolipwa malimbikizo ya mishahara yao
Hali ni tete katika kituo cha kimara kama ilivyoripotiwa na Benjamin Mzinga wa ITV msongamano wa abiria ni mkubwa na watu wanaathirika kwa kuumizana na kukosa hewa.