Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,300
- 33,920
Kuna fikra zinagongana kwenye jamii yetu kila siku, wananchi wataka kuwatendea wenzao kibepari lakini wanataka kuwa na serikali ya kijamaa. Kama kuna watu wanalipa hadi 3000 kwa kupanda "Noah" toka Posta mpaka Mbezi ya Kimara ni kwa nini hao mwendo kasi wanashindwa kuboresha huduma zao ili watoze zaidi ili wajiendeshe kiufanisi?Ubarikiwe sana Mkuu, unatimiza wajibu wako kwa Taifa vizuri sana. Nani atakusikiliza?