Kuna tafiti zinagusa maisha ya mwanadamu directly mfano ule utafiti uliofanyika mwanza kwenye juice ya miwa na kujulikana kuwa ile juice ina Bacteria.Tafiti hizi za watu Kama wakina prof.dump (Kabudi) zitasaidia nini taifa mkuu na zile za SUA za panya
Kuelewa mawazo makubwa unatakiwa uwe na uwezo mkubwa pia wa kuona next century" ukuzaji wa mazao bila mbolea, gari lenye ufanisi 125%" Wewe Mwandishi utakuwa mmoja wa wasomi unaowalalamikia.
Miwa mingi inalimwa kwenye maji taka au madimbwi yanayozunguka makazi unategemea usikute hao wadudu???Kuna tafiti zinagusa maisha ya mwanadamu directly mfano ule utafiti uliofanyika mwanza kwenye juice ya miwa na kujulikana kuwa ile juice ina Bacteria.
Tayari hiyo ni advantage kwa watu ili kupunguza magonjwa.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Naamini hizo tafiti zikiwekwa wazi kila mwaka kwenye Live channel, tutaona vitu vya ajabu na hapo wataalam watapata changamoto ya kujirekebisha na kufanya tafiti za kuletea watu maendeleoZaidi ya 99% ya tafiti za wasomi wa kitanzania ni quantitative kind of; kutembeza madodoso. Qualitative researches ndio hasa zinazoipeleka dunia mbele; kuibua theories mpya etc.
Tafiti za panya pale SUA zimefadhiliwa na mabeberu na ndio maana wanafanya yale waliyo ambiwa na mabeberu.Tafiti hizi za watu Kama wakina prof.dump (Kabudi) zitasaidia nini taifa mkuu na zile za SUA za panya
Ukisoma zile docs ni partial fulfillment , mtu amejilipia ada yake anasoma,Tumekuwa na wasomi wangazi za juu (Masters na phd) wengi sana wana maliza kila mwaka; Ila inavyo onekana kuna baadhi ya tafiti hazina umuhimu wowote wa maana kwa maisha ya watanzania
Natamani:
1. Vyuo viwe na maono ya kufanya tafiti nyingi za kutatua changamoto za watanzania kwa sasa tuachane na copy paste ya vya wazungu kwani mengi hayaendani kabisa na watanzania (waafrica) (culture, uchumi, elimu, mazingira nk)
2. Serikali iweke TV channel au niseme ukurasa rasmi wa tafiti Bora labda 50 kila mwaka zilizopitishwa na zenye manufaa ya moja kwa moja kwa watanzania ili watu wazifuatilie . Itaweza kuwa kama discovery channel ya Tz
3. Kwa umuhimu hatuna haja ya mtanzania aliyepo hapa nyumbani kupoteza muda kutafiti kwenda mbingu ya pili (juu ya jua) wakati hata utafiti wa kawaida kabisa bado
4. Huwa napata aibu kusikia msomi wa chuo kikuu anajisifia amegundua kutengeneza helcopter ya mabati ya msouth au pengine gari nk tena lenye ufanisi wa chini pengine niseme 25%
Ningetamani kusikia amegundua gari lenye ufanisi wa hali ya juu ukilinganisha na yaliyopo sokoni kwa sasa mf: Fuso inayotumia mafuta lita moja kwa umbali wa kilometa 25 huku ikiwa imebeba tani 7 nk.
5. Pengine niseme, wajikite katika ugunduzi wa machine rahisi za kusaidia wananchi kama; kuonesha samaki walipo kwenye maziwa, au pengine Nguo zisizo ungua kwa ajili ya watu wa faya, Baiskeli za walemavu za kutumia umeme wa jua, Baiskeli za kuchage, ukuzaji wa mazao bila mbolea au niseme mbolea kidogo nk. Bandari yetu imekosa wasomi wa kushauri wakati kuna vyuo vya bandani nk hata sijui wanatafiti nini? nk nk nk
6. Ushauri wangu: Wasomi wafanye tafiti kwa masomo ambayo wana msingi nayo kuanzia level ya chini (Diploma/ bachelor) ndio tutapata tafiti muafaka na sio zile za copy edit
Unakuta mtu kasoma kozi zake za arts (barchelor & masters) eti kaja kufanya kautafiti kautalii (Tourism) sijui ilikuwa culture in tourism eti tayari anachukuliwa ni mbobezi wa utalii wakati kimsingi anajua labda 15% ya biashara ya utalii; Shame!
Hahaha! Masters! Phd ° haya.Tumekuwa na wasomi wangazi za juu (Masters na phd) wengi sana wana maliza kila mwaka; Ila inavyo onekana kuna baadhi ya tafiti hazina umuhimu wowote wa maana kwa maisha ya watanzania
Natamani:
1. Vyuo viwe na maono ya kufanya tafiti nyingi za kutatua changamoto za watanzania kwa sasa tuachane na copy paste ya vya wazungu kwani mengi hayaendani kabisa na watanzania (waafrica) (culture, uchumi, elimu, mazingira nk)
2. Serikali iweke TV channel au niseme ukurasa rasmi wa tafiti Bora labda 50 kila mwaka zilizopitishwa na zenye manufaa ya moja kwa moja kwa watanzania ili watu wazifuatilie . Itaweza kuwa kama discovery channel ya Tz
3. Kwa umuhimu hatuna haja ya mtanzania aliyepo hapa nyumbani kupoteza muda kutafiti kwenda mbingu ya pili (juu ya jua) wakati hata utafiti wa kawaida kabisa bado
4. Huwa napata aibu kusikia msomi wa chuo kikuu anajisifia amegundua kutengeneza helcopter ya mabati ya msouth au pengine gari nk tena lenye ufanisi wa chini pengine niseme 25%
Ningetamani kusikia amegundua gari lenye ufanisi wa hali ya juu ukilinganisha na yaliyopo sokoni kwa sasa mf: Fuso inayotumia mafuta lita moja kwa umbali wa kilometa 25 huku ikiwa imebeba tani 7 nk.
5. Pengine niseme, wajikite katika ugunduzi wa machine rahisi za kusaidia wananchi kama; kuonesha samaki walipo kwenye maziwa, au pengine Nguo zisizo ungua kwa ajili ya watu wa faya, Baiskeli za walemavu za kutumia umeme wa jua, Baiskeli za kuchage, ukuzaji wa mazao bila mbolea au niseme mbolea kidogo nk. Bandari yetu imekosa wasomi wa kushauri wakati kuna vyuo vya bandani nk hata sijui wanatafiti nini? nk nk nk
6. Ushauri wangu: Wasomi wafanye tafiti kwa masomo ambayo wana msingi nayo kuanzia level ya chini (Diploma/ bachelor) ndio tutapata tafiti muafaka na sio zile za copy edit
Unakuta mtu kasoma kozi zake za arts (barchelor & masters) eti kaja kufanya kautafiti kautalii (Tourism) sijui ilikuwa culture in tourism eti tayari anachukuliwa ni mbobezi wa utalii wakati kimsingi anajua labda 15% ya biashara ya utalii; Shame!
Mkuu tafiti inahitaji bajeti kubwa sana, kuna tafiti moja ya shirika tulifanya unapewa siku 2 ukusanye na kuchakata data za field husika unadhani hapo utapata meaningful findings zaidi ya kulipua tu!!Naamini hizo tafiti zikiwekwa wazi kila mwaka kwenye Live channel, tutaona vitu vya ajabu na hapo wataalam watapata changamoto ya kujirekebisha na kufanya tafiti za kuletea watu maendeleo
Mimi natamani twende na tafiti rahisi za kusaidia wananchi na kukuza uchumi fasta; mfano;
Ukienda kilimanjaro na hata bukoba, ndizi mshale zinapungua kwa kasi; hakuna mtalaam amekwenda kule kufanya utafiti na kupendekeza nini kifanyike au pengine kuja na aina mbadala inayohimili mabadiliko ya hali ya hewa na magonjwa. Lakini muhimu zaidi matokeo ya hizo tafiti yawafikie wananchi nasio kuishia kwenye makabrasha
Tafiti za kutengeneza ndege za kutumia mwanga wa jua na nyingine kama hizo, tungeweka pembeni kwanza. Tuanze na haya yanayo tuongezea umasikini, tuki improve huku chini hayo mengine yatakuja yenyewe...hatuoni china?