Mwanaume ana nafasi kubwa ya kufanikiwa kwa haraka akiwa mwenyewe kuliko akiwa na mwenza kwa nyakati hizi tofauti na zamani.
Sababu zipo wazi kabisa kama ifuatavyo.
1. Mwanaume ana budget binafsi ndogo sana kimatumizi ukilinganisha na mwanamke. Kuanzia chakula,mavazi, matibabu, na hata entertainment.
Mwanaume anakwenda saloon mara 4 au tatu kwa mwezi na gharama yake ni kati ya 5,000 hadi 20,000 kwa mwezi kwenye kutengeneza kichwa chake.
Wanaume hula chakula cha magengeni ni simple na nafuu, migahawa ilitengenezwa kwaajiri ya wanaume kutokea mwanzo wake.
Mwanaume anaweza kuwa na jeans moja na kadeti mbili, shati tatu na fulana tatu, soksi pair moja,na boxer tatu, viatu pea tatu na akadumu navyo kwa siku 365 (mwaka) au zaidi bila kununua vipya.
Kiafya wanaume kutokana na mishe zao kuumwa ni nadra sana wanaweza kumaliza mwaka mzima bila kukanyaga hospital tofauti na wanawake ambao period kila mwezi, mood swings, na wanaweza kupata UTI wakiwa wachafu bila kuambukizwa na mtu yoyote.
Mwanaume anaweza kukaa mwaka mzima bila kutoka out au kula bata na asidhurike. Kinyume na wanawake ambao kutoka out kwao ni sehemu ya ibada na sadaka kwa Shetani ambae ndie mungu wao wanaemuabudu kwasasa.
2. Kisaikolojia mwanaume akiwa mwenyewe bila uwepo wa mwanamke eneo lake hana mtu wa kumuumiza kichwa au kumchanganya direction hii ina mfanya kuwa mbunifu,kufocus, kuwa consistent, na kujali muda wake zaidi. Hii moment huitwa solitude. Wanawake wakiwa moment ya hivi huwa wanakuwa karibu zaidi na shetani na anawaingia kirahisi zaidi.
3. Idea nzuri na ubunifu mkubwa ulipatikana kipindi wanaume walipokuwa wenyewe pekee yao na MUNGU wao bila kuwepo na mwanamke anayemletea mawenge yake mara iphone,mara sijala nataka kitimoto,mara jenista ndio nani etc hizi zote ni distraction kwake kumtoa katika focus ili awe masikini.
4. Watoto wa kiume wengi kwasasa wameanza kupata financial literacy juu ya pesa zao na kuzitumia zaidi kujiendeleza na kumanage wenyewe. Zamani ili aminika kuwa mwanaume pesa zake zinashikwa na mkewe na ndie mpanga matumizi. Kutokana na culture ya wanawake wa sasa kupenda hela imewastua wanaume kutunza pesa zao wenyewe na wameona matunda ya pesa zao kutotumika hovyo kwasababu wanawake wakiona hela ya mwanaume wanawashwa kuipangia matumizi ambayo hata si ya lazima.
5. Wanaume wengi wamegundua kuwa katika umri wa kuanzia 16 hadi 35 ni umri muhimu sana kwao kujitafuta na kujiwekeza na hivyo kupoteza muda na mahusiano na hawa wadangaji wa kisasa wanaojifanya ni High value women ni kupoteza muda na pesa bila faida, so kuwa single na kujijenga ndio njia pekee ya kufanikiwa na kufika umri mkubwa wakiwa na mafanikio.
Diamond huyo hapo hajaoa hadi leo. Ila tazama umri na mafanikio yake anamshinda hata mzee aliyekuwa meneja muajiri BOT.
Sababu zipo nyingi sana. Nadhani nitaleta uzi hapa soon ku'cover sehemu ya hii topic ya "mwanaume kufanikiwa zaidi akiwa single".