TAFITI: Wanaume walio single wanafanikiwa haraka

Utafiti mpya unaonesha wanaume wengi walio chini ya umri wa miaka 30 ni Hawako kwenye mahusiano ya kimapenz na wengi hawatafuti kabisa,na kwa sasa wanaume wengi wanaishi bila shinikizo la mahusiano wala ndoa sasa kutokana na hilo wanasaikolojia wanasema mwanaume anapokuwa single anapata muda mzuri wa kujijenga,kujipanga kimaisha na kuepukana na migogoro isiyo ya lazima ya kimapenzi pia kwa kuwa hana mpenzi anapata muda mzuri wa kutunza kibunda chake hivyo anakuwa kwenye nafasi nzuri ya kufanikiwa.

Kuwa single haimaanishi kuwa mpweke, ni nafasi nzuri ya kujijenga so itumie vizuri.
Sio kweli
 
nyumba yangu ya kwanza, ya pili, ya tatu na sasa inaendelea ya nne, nimejenga kwa msaada wa mke wangu. yeye ni mhasibu wangu. pesa nikiwa nayo mimi bila kujadiliana naye huwa najikuta nimegawa yote, kwa sababu nina moyo wa huruma sana ila mke wangu ni mgumu wa pesa mno, anaweza kupata shida sana wakati ana pesa nyingi tu anazihifadhi, kwa sababu hiyo, tumesaidiana kusevu na kufikia mambo mengi kama familia. ushirikiano huu umesababisha tukubaliane hakuna hela kutoka bila kujadiliana nani tumsaidie nani tusimsaidie, la sivyo, niliishia kusomesha wengi, nikawa mtoaji hovyo hadi nilipooa ndio pesa ikaanza kufanya kazi ya maana. huu ndio ulikuwa udhaifu wangu. amenifanya nimeiga tabia zake na miimi nipo kama yeye sasa hasa baada ya kupata watoto wengi, nawaza kila mtoto awe na nyumba yake na itakuwa hivyo kwa Jina la Yesu. ukipata mke bora, utafanikiwa, ukipata mke toka kwa shetani, utakuwa masikini na atakukimbia na utakufa kabla ya siku zako.
 
Roho mbaya tu,unawashauri watuache ili wafanikiwe, mfalme Suleiman alikufa masikini????
Mkishazeeka ndio mnataka maridhiano na muafaka,ila mnapokuwa mabinti umri kati ya 16 hadi 26 hapo huwa hakuna mnalosikia ninyi ni kusema tu mnapenda sana pesa na hamtaki mahusiano yasiyokuwa na hela.
 
Utafiti mpya unaonesha wanaume wengi walio chini ya umri wa miaka 30 ni Hawako kwenye mahusiano ya kimapenz na wengi hawatafuti kabisa,na kwa sasa wanaume wengi wanaishi bila shinikizo la mahusiano wala ndoa sasa kutokana na hilo wanasaikolojia wanasema mwanaume anapokuwa single anapata muda mzuri wa kujijenga,kujipanga kimaisha na kuepukana na migogoro isiyo ya lazima ya kimapenzi pia kwa kuwa hana mpenzi anapata muda mzuri wa kutunza kibunda chake hivyo anakuwa kwenye nafasi nzuri ya kufanikiwa.

Kuwa single haimaanishi kuwa mpweke, ni nafasi nzuri ya kujijenga so itumie vizuri.
Unajua maana ya single wewe?
Bongo kuna single?

Single ni mtu asiye na mpenzi .

Kwa uzi huu lengo ni wale wasio na ndoa, kitu ambacho sio matumizi sahihi ya neno single
 
nyumba yangu ya kwanza, ya pili, ya tatu na sasa inaendelea ya nne, nimejenga kwa msaada wa mke wangu. yeye ni mhasibu wangu. pesa nikiwa nayo mimi bila kujadiliana naye huwa najikuta nimegawa yote, kwa sababu nina moyo wa huruma sana ila mke wangu ni mgumu wa pesa mno, anaweza kupata shida sana wakati ana pesa nyingi tu anazihifadhi, kwa sababu hiyo, tumesaidiana kusevu na kufikia mambo mengi kama familia. ushirikiano huu umesababisha tukubaliane hakuna hela kutoka bila kujadiliana nani tumsaidie nani tusimsaidie, la sivyo, niliishia kusomesha wengi, nikawa mtoaji hovyo hadi nilipooa ndio pesa ikaanza kufanya kazi ya maana. huu ndio ulikuwa udhaifu wangu. amenifanya nimeiga tabia zake na miimi nipo kama yeye sasa hasa baada ya kupata watoto wengi, nawaza kila mtoto awe na nyumba yake na itakuwa hivyo kwa Jina la Yesu. ukipata mke bora, utafanikiwa, ukipata mke toka kwa shetani, utakuwa masikini na atakukimbia na utakufa kabla ya siku zako.
Ulichofanya hapa ni kukiri kuwa wewe si chochote bila mkeo jambo ambalo ni hatari sana kwa maisha yako.

Kwa maelezo yako hapa ni wazi unakiri kuwa mkeo akaamua kusema ana achana na wewe anataka kuanza upya kimaisha aidha na mwanaume mwingine au vyovyote ni wazi utachanganyikiwa na kulia kama mtoto mdogo huku kamasi zikikutoka.

Watoto wako wakishuhudia hilo tukio la baba yao kulia kama mwanamke ndipo hapo sasa tunaanza kuona madhara ya kuwa mwanaume legelege kama wewe ambae maamuzi yako binafsi uti wa mgongo ni mkeo.

So mkeo akiangua maana yake wewe umefika tamati,yaani wewe bila mkeo wewe ni takataka 😂, kwamba hapo ndani mwanamke ndie brains wewe ni mkokoteni unaburutwa uelekeo wa mkeo.

Mkeo anaweza hata kuwa na mwanaume na hautatakiwa kumlaumu sababu wewe ndie mwanaume ambaye upo kwenye maisha yake ila hauna korodani anakupanga na unapangika. Mwanaume ambaye ume surrender mamlaka yako kwa mkeo utamlaumu mkeo akipata kidume ambaye ana maamuzi makavu ya binafsi?

Ndio maana huwa mnalalamika kuwa wanawake wanagongwa nje ila sababu ni hizi kariba za kike za kujisifia kabisa kuwa mkeo ndio ana final say na ndio mfanya maamuzi.

Mimi bora ni haribu kuliko mwanamke anipe amri ya mwisho. Akijitahidi sana labda anishauri kwa lugha ile ya ushauri ila sio yeye apange mimi nifanye, kuwa mwanaume sometimes ni zaidi ya vita. Sio kitu cha watu lege lege.

Sasa subiria hizo nyumba huko mbeleni lazima utangulie mbele za haki au unyanyasike kushika pesa za hizo nyumba.
 
Mwanaume utakula Kwa jasho!!
Ndio atakula kwa jasho haimaanishi kuteseka maana yake Atatengeneza utajiri wake kwa kutuliza kichwa, akili na kutumia nguvu zake na sio kupewa tu kama vile urithi.
 
Back
Top Bottom