Team kataa ndoa hawajui nini maana ya mapenzi

Mosalah_

JF-Expert Member
Jul 10, 2018
314
720
Unajua mapenzi aliyaumba mungu kwa namna ya tofauti sana, kama ujawai kupendani na mtu uwezi kujua nini maana ya mapenzi.

Ukipendana na mtu mioyo yenu inakuwa kitu kimoja kihisia yani unazama , ulishawai kuzama wewe kama ni ndio hauwezi kusema Kataa ndoa.

Kwa nini hauwezi kukataa ndoa kwa sababu ukisha zama yani ukiwa kwenye penzi muda wote utatamani kuwa naye, kuongea naye n.k

Ebu niambie "umeshawai kupenda wewe " tuambie ni kitu gani ulikifanya ukajua kabisa umezama penzini.

KAMA MNA PENDANA MTA OANA,

KATAA NDOA NI KWA WATU WASIOJUA NINI MAANA YA MAPENZI.

Usiku mwema.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
.
 
Attachments

  • 20231006_125933.jpg
    20231006_125933.jpg
    42 KB · Views: 4
Unajua mapenzi aliyaumba mungu kwa namna ya tofauti sana, kama ujawai kupendani na mtu uwezi kujua nini maana ya mapenzi.

Ukipendana na mtu mioyo yenu inakuwa kitu kimoja kihisia yani unazama , ulishawai kuzama wewe kama ni ndio hauwezi kusema Kataa ndoa.

Kwa nini hauwezi kukataa ndoa kwa sababu ukisha zama yani ukiwa kwenye penzi muda wote utatamani kuwa naye, kuongea naye n.k

Ebu niambie "umeshawai kupenda wewe " tuambie ni kitu gani ulikifanya ukajua kabisa umezama penzini.

KAMA MNA PENDANA MTA OANA,

KATAA NDOA NI KWA WATU WASIOJUA NINI MAANA YA MAPENZI.

Usiku mwema.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Cc dronedrake na members wake waione kwenye file.😅😅
 
Hao watoto bado tu hawajakua?
 
Sawa hatujui mkuu Ila mbona hao mnao pendana nao wanashinda magetoni kwetu

In fact
. Mimi sioni haja ya kuoa wakati Kila mnachopata kwenye sisi tunapata pia na hatujaoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom