Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Boss, hongera wewe kwa kuwa na kichwa kilichojaa ufahamu...Mawazo ya kijamaa ni shida sana yakiingia kwenye vichwa vilivyokuwa tupu!
Mhhh, sidhani kama upo sahihi mkuu. Any credible/concrete evidence please?...SUMA JKT hakuna faida mle
Mle ni kitengo cha wakubwa kujipigia
Suma JKT is a useless money burning department
CWT wanamiliki vitega uchumi kama vile jengo la ghorofa pale Ilala Dar hii ipo wazi na inajulikana na kila mtu...CWT na SUMA JKT ni taasisi mbili tofauti zenye malengo tofauti.
Kazi ya CWT ambacho ni chama cha wakimu kilichoanzishwa na walimu ) ni kumtetea mwalimu na kuhakikisha anapewa haki zake kutoka kwa Mwajiri wake ( serikali ).
Walimu huwa wanalalamika hawayapendi balaa hayo makatoCwt ifutwe na isiwepo kabisa.Waondoe makato yao kwenye mishahara ya Walimu,hawana faida yotote.
Wanapewa t-shirt kwisha wanabaki wakichekelea kumbe wanapigwa.Kila taasisi ya Serikali ikiamua kufanya hivyo kweli Wakandarasi tutapata miradi namna hiyo??
Mnataka tufe njaa
Hata hivyo si SumaJKT wala TBA wanaofanya kazi nzuri, mradi wa miezi 8 unafanywa kwa miaka 3 au zaidi mpaka inafikia kipindi Serikali yenyewe inaamua kuwavunjia mikataba.
Nje ya Mada
Hivi makato ya walimu kuchangia CWT yanawasaidia vipi Walimu???