Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Acha ulofa wewe, kwenu hamna makaburi? umewafufua wangapi ndugu zako? Fikiria kwanza. Kwa thread yako hii tu tayari umeudhihirishia umma upeo wako dhaifu. I'm westing my tie arguing w't u.
Lofa ni wewe na hao masikini wenzio kwenu.
Hata nikikutajia idadi ya niliowafufua, itakusaidia nini?
Naona roho yako inakusokota kwa kuwaona wanaume wenzio wakitumia jasho lao vizuri.
Amka kaka, fanya kazi.
Unakurupuka tu na kuanzisha thread ili ujadili utajiri wa mtu,
yatakushinda.
Na maisha ya mtu hayakuhusu.