Tafadhari ,Nipe Uzoefu Au Maoni Yako!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhari ,Nipe Uzoefu Au Maoni Yako!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Majigo, Oct 3, 2012.

 1. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nikiwa Kama Kijana Ninayejiandaa Na Maisha Ktk Ujasiriamali,Mtaji Wangu Ni Laki Mbili.
  Kwa Pesa Hzo Niko Njia Panda,Kipi Chenye Soko Kubwa Kati Ya:
  -Ninafikiria Kununua Digital Kamera Ili Niwe Mpiga Picha Mitaani
  -Nifungue Banda La Kuonesha Mpira(video Ninavyo)
  Tafadhari Wakuu..Ushauri Wako Tu,Ni Mkombozi Tosha kwangu(niko DAR),Nawasilisha Kwa Kutanguliza Shukrani na Salam !
   
 2. nameless girl

  nameless girl JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 3,905
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  Bora ya kuonyesha mpr bt cku ambazo c za msmu wa mpr utakula nn?
   
 3. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Dah!Ndo Hapo Mkuu!
  Nayo Inahitaji Kujipanga nilifikiria Pia Niwe Naonesha Cd Za Movies,iwapo Hakuta Kuwepo Mpira!
  Asante Kwa Maoni Yako!
  Tungoje Wadau Wengne Labda Nao Wana Cha Zaidi!
   
 4. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaweke heshima BAR!..
   
 5. M

  Mohamedmussa Ng'onye Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chunguza mtaani kwako km hauna magenge yazidiyo matatu, fungua genge uswaz litarudsha mtaj na utaweza hata fungua VIDEO SHOW..
  kingne km unaushujaa wa kupoin vinguo flan vya wadada vikali afu watoke ktk vyuo na hostel zao..inatoka km ujuavyo wadada ..muhim chungza kip wanavaa sana sku izi
   
 6. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  fanya research kwanza, je eneo ulilopo au maeneo uliyopo kipi kina wateja wengi?
   
 7. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Heshma Haitafutwi Hvyo Mkuu,ni Wakati Wako!
   
 8. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Asante Mkuu,Ushauri Wako Umenipa Mwanga Zaid,kweli Kikubwa Ni Ubunifu!
   
 9. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  shukrani,Nitafanyia Kazi Mkuu!
   
 10. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Acha dharau na punguza na kucheza na maisha ya mtu ambaye anatafuta namna ya kujisaidia....
   
 11. b

  beauty gal Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yasome mazngira ya kitaa kwako ujue biashara gan inalipa.
   
 12. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ninafanyia Kazi Hili Suala!
   
 13. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Shukran Kwa Wote Mlio Nishaur Na Mnaoendelea Kunishauri!
   
Loading...