Halafu eti Hawa ndio wanajiita magwiji wa Kiswahili
Eti masigwa. Hicho ni kikisii bana, hata wao pia wanasemaga kiswahili sio 'mudomo yetu'.Very funny
Wapi bana. Hapo hamna cha ugwiji wala nini. Kama sio utani basi R.I.P Kiswahili. Eti mayaye.Halafu eti Hawa ndio wanajiita magwiji wa Kiswahili
Githeri. Yaani Makande.Geteri ni nn??
Kule Meru wanaiandikaga kama 'chubu'.Subu
Acha kuwabagua wakenya wenzio, haijalishi ni wakisii au wakikuyu!Eti masigwa. Hicho ni kikisii bana, hata wao pia wanasemaga kiswahili sio 'mudomo yetu'.
Amewabagua kwa njia ipi kaka? We make fun of each other since every tribe has it's unique accent.Acha kuwabagua wakenya wenzio, haijalishi ni wakisii au wakikuyu!
Kwanza kuna hao wakisii wanajua kiswahili vizuri tu, nakumbuka shule ya msingi nimefundishwa na mwalimu kutoka kisii Kenya, alikuja kufanya mazoezi ya kufundisha kwa vitendo (BTP) na alikuwa fluent kwenye kiswahili.
Sijambagua mtu yeyote yule. Aliyeandika hiyo nadhani alikuwa anawatania tu na ile lahaja yao nzito. Relax buana.Acha kuwabagua wakenya wenzio, haijalishi ni wakisii au wakikuyu!
Kwanza kuna hao wakisii wanajua kiswahili vizuri tu, nakumbuka shule ya msingi nimefundishwa na mwalimu kutoka kisii Kenya, alikuja kufanya mazoezi ya kufundisha kwa vitendo (BTP) na alikuwa fluent kwenye kiswahili.
Same applies here, but we don't care abt one's accent.Amewabagua kwa njia ipi kaka? We make fun of each other since every tribe has it's unique accent.
Wanafurahisha kweliKule Meru wanaiandikaga kama 'chubu'.