Tafadhali Wakenya Msituharibie Lugha Yetu

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,521
12,616
FB_IMG_1525021728161.jpg
 
Eti masigwa. Hicho ni kikisii bana, hata wao pia wanasemaga kiswahili sio 'mudomo yetu'.
Acha kuwabagua wakenya wenzio, haijalishi ni wakisii au wakikuyu!

Kwanza kuna hao wakisii wanajua kiswahili vizuri tu, nakumbuka shule ya msingi nimefundishwa na mwalimu kutoka kisii Kenya, alikuja kufanya mazoezi ya kufundisha kwa vitendo (BTP) na alikuwa fluent kwenye kiswahili.
 
Amewabagua kwa njia ipi kaka? We make fun of each other since every tribe has it's unique accent.
 
Sijambagua mtu yeyote yule. Aliyeandika hiyo nadhani alikuwa anawatania tu na ile lahaja yao nzito. Relax buana.
 
Amewabagua kwa njia ipi kaka? We make fun of each other since every tribe has it's unique accent.
Same applies here, but we don't care abt one's accent.
Anyways, since it's all abt making fun of each other, I rest my case!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom