Tafadhali Wakenya Msituharibie Lugha Yetu

Hicho kiswahili kiliandikwa na mtu asiyejua vizuri kisw na akaamini kuwa anajua mbona hata huku kwetu wapo watu kibao wanakoseaga kuandika mfano unamkuta mtu badala ya kuandika Mbwa anaandika Mubwa
 
Sijambagua mtu yeyote ule. Aliyeandika hiyo nadhani alikuwa anawatania tu na ile lahaja yao nzito. Relax buana.
Kitendo cha kuwatupia huu mzigo watu a kisii peke yao badala ya taifa zima la Kenya ndo ubaguzi huo, kwamba maeneo mengine mko vizuri isipokuwa wakisii, na hapa ukumbuke unaongea na watu kutoka taifa jingine. So unachotaka kutuaminisha ni makabila mengine yako sawa isipokuwa wakisii. Hii ingekuwa poa kule KT sio hapa.

Ingefaa hii mchukulie kama mnavyofanya kwa wakalenjin pale wanapoleta medali za riadha kenya, sijawahi kuona mtu hapa akisema hao ni wakalenjin, ila huwa mnasema hao ni wakenya.

So kwenye makosa pia myabebe kama taifa sio kubaguana kwa ukanda.

Akhsante.
 
Hicho kiswahili kiliandikwa na mtu asiyejua vizuri kisw na akaamini kuwa anajua mbona hata huku kwetu wapo watu kibao wanakoseaga kuandika mfano unamkuta mtu badala ya kuandika Mbwa anaandika Mubwa

Hehehe Kwanza Wakurya

MKURYA MMOJA ALISIKIKA AKISEMA:

AROO! HAYA MAJITU YANASHINDWA KUBIKIRI FIZURI, MAWASO YAO YOTE YAKO KWENYE KURA KIBORO NA UCHI.

akiwa na maana ya:

ALOO! HAWA WATU WANASHINDWA KUFIKIRI VIZURI, MAWAZO YAO YOTE YAKO KWENYE KULA KIPORO NA UJI
Wakurya na kiswahili
 
Umeonaa eeh? Hatw hapa kwetu watu kibao wanakikosea kisw...... zaidi nenda huko vijijin ukakutane na wale watu waliosoma na kukomea madarasa ya chini utacheka sana!
 
Hehehe Kwanza Wakurya

MKURYA MMOJA ALISIKIKA AKISEMA:

AROO! HAYA MAJITU YANASHINDWA KUBIKIRI FIZURI, MAWASO YAO YOTE YAKO KWENYE KURA KIBORO NA UCHI.

akiwa na maana ya:

ALOO! HAWA WATU WANASHINDWA KUFIKIRI VIZURI, MAWAZO YAO YOTE YAKO KWENYE KULA KIPORO NA UJI
Wakurya na kiswahili
Wakurya tatizo lao ni kwenye matumiz ya R na L pekee, herufi nyingne wanatamka vizuri kwa usahihi bila kukosea

Mawaso= Wamasai hawa sio wakurya (wanatumia S sehemu ya kutumia Z)

FISURI =wamasai pia

Kiboro= sijui ni kabila gani hilo haliwezi tofautisha P na B... kuna harufu ya uongo hapa
 
Erooo! Kanyoo, kae moda ninye? Naona umeanza uchokozi. Ngoja nije na kile kiboko chetu huwa tunakiita nchivi shivi. Utakoma, nikikucharaa kimoja eroo utakunja mgongo kama kangaroo. :)
 
Napendaga sana kusikia kiswahili kikicharangwa hovyo hovyo inanifanyaga najisikia kama linguistic genius vile.

Niliwahi kukaa Kenya kule Mombasa sasa kiswahili cha kule kilikuwa sawa sikuona makosa mengi kihivyo but I wish ningekaa kwa hawa wa Chibusi na chuisi.
 
Kitendo cha kuwatupia huu mzigo watu a kisii peke yao badala ya taifa zima la Kenya ndo ubaguzi huo, kwamba maeneo mengine mko vizuri isipokuwa wakisii, na hapa ukumbuke unaongea na watu kutoka taifa jingine. So unachotaka kutuaminisha ni makabila mengine yako sawa isipokuwa wakisii. Hii ingekuwa poa kule KT sio hapa.

Ingefaa hii mchukulie kama mnavyofanya kwa wakalenjin pale wanapoleta medali za riadha kenya, sijawahi kuona mtu hapa akisema hao ni
Itakuwa una stress nyingi sana, sio kwa taarifa hizi ndefu ndefu. Breathe iiin, ouut alafu rudia baada yangu. Aaall iis weell x3. Kitulizo kamili .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom