Tafadhali Rais Samia... Hakuna anayekuamini...

Huyu mama siku Trump akimdaka atajuta kuzaliwa.
 
Nyie ndiyo mlikuwa mnahamasisha vijana watoke wakaandamane, hakafu unataka Samia ndiyo aende akakutane na waliopoteza ndugu zao. Pathetic
 
Wewe pumbafu sana,unichefua sana wewe binadamu
 

Ulishaona wapi muhalifu anajiundia tume ya kujichunguza ikiwa na former IGP??? Hii ni maajabu...ni nchi ya Malawi pekee ndiyo haya maajabu yanatokea
 
Bado hujafanya lolote la kutufanya tuamini kuwa umeguswa na unataka lisitokee tena...naogopa kuwa wa kwanza kusema...mtaua tena nyinyi...tena labda zaidi..harufu ya damu bado iko angani. Hamuogopi...hamna cha kuwatisha kama walivyosema wahenga...💪🏿
 
Dogo Hana adabu kwa wazee wake
 
Unaamini kuwa raisi haujui ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…