Hutu tumafuriko twa Dar Rais atangaze hali ya dharura? Yale ya Kilosa na kwingineko alitangaza?Waziri Mkuu hana nguvu ya kutangaza hali ya dharura (ndicho kilichomtia Lowassa matatizoni); only the President can. Na katika hili ni rais anahitaji kuonesha kuwa anajali wananchi wake.