TACAIDS Ilisaidia kulipa deni la Capt John Komba CRDB !

TACAIDS Ilisaidia kulipa deni la Capt John Komba CRDB !

Heshima kwenu wanajamvi,

Habari za kupigwa mnada mali (Shule ya Bakili Muluzi) za Capt John Komba zilitawala anga ya habari kwa muda wa wiki nzima.Capt Komba alikopa jumla ya Tshs 900 milioni toka CRDB na dhamana ya mkopo huo ilikuwa ni viwanja na shule anayoimiliki.Haifahamiki kama fedha alizokopa zilitumika kujenga shule hizo au zilitumika kwa kazi nyingine.

Kilichishangaza wengi ni TACADS kusaidia kulipa sehemu ya deni la Capt Komba !.Ifahamike TACAIDS ni tume ya kupambana na ukimwi Tanzania moja ya majukumu yake makubwa ni kuzuia kuenea ukimwi Tanzania (utoaji elimu) sasa mahali ninapochanganyikiwa ni kuona taasisi hii nyeti inaacha majukumu yake ya msingi na kujivika jukumu la kutoa fedha kulipa deni la Komba,fedha hizi zingeweza kuokoa maisha ya vijana wengi Tanzania.

Ni matumani yangu CAG ataimulika tume ya ukimwi Tanzania.


Habari juu ya uhusika wa TACAIDS ipo hapa => https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/680120-mali-za-kapteni-komba-kupigwa-mnada-na-crdb.html

Yani we ni gamba la ma-ccm afu bado unauliza swali ka ilo kweli?
 
MPE jibu mkuu matusi yanini?

mbowe kalipa deni la NSSF?

slaa karudisha chadema mil 140 alizokopa?

Mbona mnakimbia mada? mada hapa je kuna uhusiano gani kati ya deni LA komba na tacaids
 
Watasema aliimba wimbo wa MGENI.


Ha ha ha ha ha ha ha ha naona hapa anauenzi wimbo wake
2Q==
 
wanaopambana na UKIMWI wanampa msambazaji

Ndio maanake, TACAIDS ni wahamasishaji chanya na hasi ili kazi iendelee kuwepo na watoto waende chooni,


Wazee wengine huko kwa Mungu watakuwa kuni za moto wa jehenamu


Ukiangalia mchango wake Bwana Komba kwenye Bunge aliosema kuwa yupo tayari kwenda msituni kutetea serikali Mbili kama CCM inavyotaka basi utagundua kuwa alikuwa anajaribu kukaa karibu na bwanake ili amfadhili katika deni hili,

Huyu Komba kweli ni Komba kidume kinachowakilisha wana Mbinga (Wangoni kwa Ugoni ni kama uji na mgonjwa)
 
Back
Top Bottom