TACAIDS Ilisaidia kulipa deni la Capt John Komba CRDB !

TACAIDS Ilisaidia kulipa deni la Capt John Komba CRDB !

Ndo raha ya kuwa c.c.m unakopa tu mihela hata bayport au crdb unazitungua kimboka na kuendelea kueneza miwaya ukidaiwa unapewa tu walipa kodi wa tanzanzania hatuna noma sie.
 
MACCM yatataka kulipotezea hili haraka sana maana haiingii akilini pesa za taasisi ya Serikali kwenda kulipa madeni ya mtu binafsi. Wakiliona linazidi kupamba moto basi utasikia tumemuomba CAG afanye uchunguzi wa kina. CAG atashuka na ripoti yake ya kusanii na kudai mzinzi Komba aliwafanyia kazi taasisi hiyo miaka ya nyuma na walikuwa hawajamlipa, hivyo hizo pesa walizolipa ni pesa ambazo walistahili kumlipa Mzinzi Komba!!! Hii nchi imeoza sana. Tunataka kujua ni nani aliyetoa agizo la TACAIDS kumlipia Komba na awajibishwe haraka sana na hizo pesa hizo zirudishwe TACAIDS haraka sana. Kamati ya Wabunge toka vyama vyote iundwe kuchunguza hili.

TACAIDS ni taasisi ya serikali kama sikosei. Sasa sijui ilikuwaje taasisi hii imlipe Komba 68m. Alifanya kazi gani huko? Na ilikuwaje Ofisi ya Waziri mkuu iingilie mchakato wa benki kutaka kuuza mali za Komba?

Mwenye majibu atwambie.

Tiba
 
Kuna wakati mwaka uleeee nilisikia kwamba shule ileeeee inagombewa kati ya wamiliki! Inaaminika Mbunge aliijenga kwenye kiwanja cha wakwe!!
 
Labda kuna wimbo anawatungia so hiyo ilikuwa ni advance kabla hajaingia studio na malipo mengine yatakuja baada ya song kuwa hewani........
 
Komba kamaliza fedha za mifuko ya Jamii sasa kaingilia NGO

Wafanyakazi wa5 wa LAPF hapa Makao makuu waliotoa SIRI za vigogo wakiwemo Wabunge kukopa LAPF ili kuinua Michezo
wamefukuzwa kazi baada ya kubainika

Humo Serikalini kuna mautumbo hasa ya kutupwa yaani kila mmoja anajichotea, anzia mkurugenzi hadi Mhudumu, ili mradi uwena kiwanja tu
Kwa hiyo Ngongo kazi bado na hata nondo za JF bado hazifui dafu bado kwani Tundu Lissu alilalamika ufujai huo hata ule wa Twin tower Kijitonyama lkn Wafanyakazi hao wamefukuzwa
Kumbuka Tundu Lissu ndio anasimamia washtakiwa walisemekana wameitia hasara LAPF kwa hiyo anajua kila kitu na jinsi walivyogawana na bado PM kanyamaza
 
Last edited by a moderator:
TACAIDS ni taasisi ya serikali kama sikosei. Sasa sijui ilikuwaje taasisi hii imlipe Komba 68m. Alifanya kazi gani huko? Na ilikuwaje Ofisi ya Waziri mkuu iingilie mchakato wa benki kutaka kuuza mali za Komba?

Mwenye majibu atwambie.

Tiba

Hii nchi, bila kutoana ngeu, sijui kama wataacha kutuletea ufudu huu.
 
Hivi Mbowe kashalipa deni la NSSF??

Ukisikia ufala na umbumbumbu ndio huu! Hili la kutumia fedha za umma kumlipia mtu deni binafsi linataka majibu ya dhati na halina itikadi lakini wewe unaleta maswali mengine ambayo yalishajibiwa huko nyuma na unaambiwa ule ni mkopo hivyo watajuana kwa masharti ya dhamana.
Hivi huu utetezi wa kila akiguswa mtu wa CCM kwa makosa aliyofanya ni wa dhati kweli. Hivi ukisikia Komba kambaka dada yako utakuja hapa na kumtetea kwa vile unalipwa elfu saba kupinga kila kitu? Unahitaji maombi wewe & co

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Msambaza ukimwi anapolipiwa deni lake la kununulia malaya na Taasisi ya UMMA ya Kupambana na Ukimwi.

Haya utayaona na kusikia Tanzania tu

Yericko Nyerere,

Kwa kauli yako unaweza kupelekwa mahakamani moja kwa moja. Una uhakika gani kwamba Mh Komba ana ukimwi?, hata kama anao kausambaza vipi?, kwanani na lini?.

Jamani tafadhalini sana tusitoke nje ya maadili wakati tunajadili mambo hapa JF. Mh Komba ni binadamu, ana watoto, ndugu, jamaa na marafiki. Baadhi wanapita hapa JF hivyo si hekima kumshambulia Mh Komba bila kuwa na uhakika. Hata kama una uhakika kwamba Mh Komba ameathirika bado huna haki ya kuja kumdhalilisha hapa JF. Unaweza kushitakiwa.
 
Tacaids wamenunua ile shule kwa ajili ya kutoa elimu wa watu walio athirika
Shule gani itauzwa kwa hela hizo? labda ni shule ya mabox ...kwani hata kiwanja chenyewe hakiwezi kuwa cha bei hiyo, may be is advance

Yericko Nyerere,

Kwa kauli yako unaweza kupelekwa mahakamani moja kwa moja. Una uhakika gani kwamba Mh Komba ana ukimwi?, hata kama anao kausambaza vipi?, kwanani na lini?.

Jamani tafadhalini sana tusitoke nje ya maadili wakati tunajadili mambo hapa JF. Mh Komba ni binadamu, ana watoto, ndugu, jamaa na marafiki. Baadhi wanapita hapa JF hivyo si hekima kumshambulia Mh Komba bila kuwa na uhakika. Hata kama una uhakika kwamba Mh Komba ameathirika bado huna haki ya kuja kumdhalilisha hapa JF. Unaweza kushitakiwa.

Kikubwa Komba akapimwe!... Kama hana tutajibu.. Unahofia nini?!
 
Back
Top Bottom