TACAIDS Ilisaidia kulipa deni la Capt John Komba CRDB !

TACAIDS Ilisaidia kulipa deni la Capt John Komba CRDB !

Hivi Mbowe kashalipa deni la NSSF??

Lete katiba ya ACT wewe TUMBIRI...(maana Maswi na Werema wanakuiteni tumbiri kumaanisha unafiki wenu wa kula RUSHWA usiku na mchana kujifanya wasafi).
 
Lete katiba ya ACT wewe TUMBIRI...(maana Maswi na Werema wanakuiteni tumbiri kumaanisha unafiki wenu wa kula RUSHWA usiku na mchana kujifanya wasafi).


MPE jibu mkuu matusi yanini?

mbowe kalipa deni la NSSF?

slaa karudisha chadema mil 140 alizokopa?
 
habari yako naona kama inaelea tu. lazima kutakuwa na sababu (nzuri au mbaya) nyuma yake. ungefanya kautafiti kidogo kabla haujabandika post yako humu.

Heshima kwenu wanajamvi,

Habari za kupigwa mnada mali (Shule ya Bakili Muluzi) za Capt John Komba zilitawala anga ya habari kwa muda wa wiki nzima.Capt Komba alikopa jumla ya Tshs 900 milioni toka CRDB na dhamana ya mkopo huo ilikuwa ni viwanja na shule anayoimiliki.Haifahamiki kama fedha alizokopa zilitumika kujenga shule hizo au zilitumika kwa kazi nyingine.

Kilichishangaza wengi ni TACADS kusaidia kulipa sehemu ya deni la Capt Komba !.Ifahamike TACAIDS ni tume ya kupambana na ukimwi Tanzania moja ya majukumu yake makubwa ni kuzuia kuenea ukimwi Tanzania (utoaji elimu) sasa mahali ninapochanganyikiwa ni kuona taasisi hii nyeti inaacha majukumu yake ya msingi na kujivika jukumu la kutoa fedha kulipa deni la Komba,fedha hizi zingeweza kuokoa maisha ya vijana wengi Tanzania.

Ni matumani yangu CAG ataimulika tume ya ukimwi Tanzania.


Habari juu ya uhusika wa TACAIDS ipo hapa => https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/680120-mali-za-kapteni-komba-kupigwa-mnada-na-crdb.html
 
TACAIDS ni taasisi ya serikali kama sikosei. Sasa sijui ilikuwaje taasisi hii imlipe Komba 68m. Alifanya kazi gani huko? Na ilikuwaje Ofisi ya Waziri mkuu iingilie mchakato wa benki kutaka kuuza mali za Komba?

Mwenye majibu atwambie.

Tiba
Gombe advisors ltd na Lekadutigite ltd zilipewa fedha na NSSF , TANAPA ........unajua sababu ?
 
Ukisikia ufala na umbumbumbu ndio huu! Hili la kutumia fedha za umma kumlipia mtu deni binafsi linataka majibu ya dhati na halina itikadi lakini wewe unaleta maswali mengine ambayo yalishajibiwa huko nyuma na unaambiwa ule ni mkopo hivyo watajuana kwa masharti ya dhamana.
Hivi huu utetezi wa kila akiguswa mtu wa CCM kwa makosa aliyofanya ni wa dhati kweli. Hivi ukisikia Komba kambaka dada yako utakuja hapa na kumtetea kwa vile unalipwa elfu saba kupinga kila kitu? Unahitaji maombi wewe & co


Sent from my iPad using JamiiForums

hahahah mkuu utumwa mbaya!
 
Duuuuuuuuuuu ni hatari ngoja na mie niombe takukuru wanilipie mkopo wangu.
 
Lete katiba ya ACT wewe TUMBIRI...(maana Maswi na Werema wanakuiteni tumbiri kumaanisha unafiki wenu wa kula RUSHWA usiku na mchana kujifanya wasafi).

MKUU TAYADI ubarikiwe sana...umeongea kitu kikubwa sana...bwana awe nawe AKUEPUSHE na watekaji , wang'oa kucha na meno bila ganzi.
 
MPE jibu mkuu matusi yanini?

mbowe kalipa deni la NSSF?

slaa karudisha chadema mil 140 alizokopa?

Hivi za mbowe na slaa zinaweza kua za Umma au zile alizolipiwa Komba na hii taasisi ya wa Tanzania? jamani na hili nalo linahitaji siasa!!
 
Hapo ndipo tunalia kila siku kuhusu kodi za wananchi kuchezewa.

TACAIDS ichunguzwe kwa kuchezea mali za uma
 
Back
Top Bottom