Tabu Ley afariki

Tabu Ley afariki

Muzina Mutate eli mwana! Naya sense tanzu!! Ekuta eyaka na sonso!! Apepe Tabu Ley(Pascal Tabu)

Akiamama umenikumbusha mbali.
Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema ampe pumziko la milele shambani mwake Bwana wetu.
 
Tabu Ley, Tutakukumbuka kwa vibao vyako kama vile: Twende Nairobi (wimbo ulioimbwa na Mbilia Bel), Bessama Muchacha, Maze n.k.
 
Muzina Mutate eli mwana! Naya sense tanzu!! Ekuta eyaka na sonso!! Apepe Tabu Ley(Pascal Tabu)

Kaka! Ni muzina de tata et de mwana et de papa santu muzina de papa nzambe....maana yake kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu. Kwa jina la baba mungu.
 
Rest in Peace Tabu Ley! Mimi nitakumbuka kwa kibao cha huzuni baada ya kuachwa na Mbilia Bel. kinaonyesha jinsi alivyoumia tungekua sisi kina Mushi na Munisi "Mbilia angefutika" hivi wadau kiilikuwa chaitwaje?
 
RIP Mzee wa Muzina. Kile kibao alichopiga baada ya kuachwa na Mbilia Bel kinaitwa mburugukweni.

Tiba
 
Rest in Peace Tabu Ley! Mimi nitakumbuka kwa kibao cha huzuni baada ya kuachwa na Mbilia Bel. kinaonyesha jinsi alivyoumia tungekua sisi kina Mushi na Munisi "Mbilia angefutika" hivi wadau kiilikuwa chaitwaje?

Mkuu hicho kibao kwa matamshi kilikuwa kinaitwa mburugukweni. Jinsi ya kuandika kwa kifaransa au kilingala sijui.

Tiba
 
RiP Tabu Ley! Nakumbuka kauli yako 1989 (or it could be 1988) alipofariki Les Grand Maitre Franco Luambo Makiadi "nitaongea na nani sasa wakati mzee mwenzangu hayupo tena"?
 
Back
Top Bottom