Du! mkuu wa nyimbo za kiutu uzima kwaheri.
Sote tupo njia moja ya kurudi mavumbini, mwezi Mungu ailaze roho yako mahali pema,Amina.
Nakumbuka vibao vyako vya Amilo (Ponpon Kuleta) na ulikipiga kwa muda wa dakika 9 na Ma Fille dakika ulitumia dakika nane 8.
Nyimbo hizi mbili ulionyesha ni jinsi gani wewe ni mtunzi wa nyimbo za kiutu uzima, nyimbo zimetulia.
Tabu Ley ntakukumbuka daima kwa kumtunza bibie Mbilia Bell ambae aling'ara sana wakti ule na bendi yenu ya Afrisa International.
Jamani kama kuna mtu anaweza kuweka video kuonyesha vibao hivi viwli basi tafwadhali anisaidie.
Ahsante.