Tabora - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
5,012
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Tabora. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Tabora una jumla ya majimbo ya uchaguzi 12 ambayo ni:-


Tabora Mjini: Emmanuel Mwakasaka (CCM)

Igalula:


Kaskazini Uyui:


Sikonge - Kakunda (CCM)


Urambo - Margareth Sitta (CCM)


Kaliua: Magdalena Sakaya (CUF)


Ulyankulu


Nzega Mjini - Ndg. Hussein Bashe (CCM) aibuka mshindi


Bukene


Nzega Vijijini - Hamis Kigwangallah (CCM)


Igunga: Dr. Dalaly Kafumu (CCM)


Manonga: Seif Gulamali (CCM)


ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Updates' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
============

Jimboni Urambo Kata 15 zimeenda CCM, kata moja imeenda ACT, kata moja imeenda CHADEMA. Sikonge ambayo ilikuwa na jumla ya kata 20, matokeo yaliyopatikana ni kata 18, kata 15 zimeenda CCM na kata 3 zimeenda CHADEMA hivyo zimebakia kata 2.
 
mjinga sana ww mwekundu jitahadhalishe mjinga ww kamwambie baba yako hivyo tuachie lowassa wetu tutamchagua wenyewe Evelyn Salt nisaidie kumtukana huyu[\color]
 
Last edited by a moderator:
Jimbo la Urambo na Jimbo la Sikonge yameenda CCM. Kweli mabadiliko hapa TZ ni ndoto za Alinacha.
 
Jimboni Urambo Kata 15 zimeenda CCM, kata moja imeenda ACT, kata moja imeenda CHADEMA. Sikonge ambayo ilikuwa na jumla ya kata 20, matokeo yaliyopatikana ni kata 18, kata 15 zimeenda CCM na kata 3 zimeenda CHADEMA hivyo zimebakia kata 2.
 
Kutoka Jimbo la kaliua Mkoani tabora Vituo karibia vyote Sakaya anaongoza!!Kwa mkurugenzi Kura zinahzsabiwa
 
Back
Top Bottom