Tabora hoteli gani nzuri ya five star?

Tabora hoteli gani nzuri ya five star?

Ingia orion hapo. Kama unataka misosi jaribu pale kwa mwarabu meya sijuwi ka bado wapo.niliondoka siku nyingi huko.
 
Kuna hotel mbili ambazo ni standard moja ni iliyo kuwa tabora hotel ya railways na nyingine ni ya grand hotel ya somebody John Patrick Mabula ukifika tabora ask for those hotel please
 
Mkuu
Kwa kuwa Tabora hakuna 5 stars Hotel na Kwa jina lako
Lala Mwanza-Malaika Hotel
Then uwe unaenda Tabora na kurudi baada ya Kazi Mwanza kwa gari Land Cruiser maana ni lami tupu
Hapo ndipo jina lako litaleta maana zaidi
 
Fikia Belmonte hotel. Iko safi, ni mpya na ina kila aina ya ulivyohitaji hapo juu.
 
Back
Top Bottom